LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,449
Walaa mi sio mwanaharakati nashangaa mtu kateuliwa kuwa CEO afu watu mko nyuma ya keyboard mnabeza uwezo wakeMwanaharakati wa kijinsia una mtetea mwanamama mwenzako. Safi sana.Tigo alikuja mwana mama hakukaa ata nusu mwaka hii ni BTW
Jitokezeni kama mna uwezo kumzidi tuwaoneee hahahah