kirumonjeta
JF-Expert Member
- Feb 9, 2008
- 3,966
- 1,968
All in all, that is the truth LET'S WAKE UP AND ACT.
Hhaha hawa jamaa tusi wadharau wenzetu wako economically strategic kwa ajili ya nchi yao, sisi Bongolanders Politcs zimekuwa nyingi hata mambo ya msingi hatufanyi. Najua Kagame sio mzuri kwenye mambo ya Democracy lakini kwenye uchumi jamaa ni mpiganaji. Bongo zamani tulikuwa tunasifika kwa kuzingatia Demokrasia lakini siku hizi hatutabiriki, umeshuhudia jinsi Katiba mpya inavyotaka Kubakwa na kulawitiwa ili watu wabaki kwenye madaraka?
ndio umejaa kwenye huo ubongo wako.
PAKA kama yupo startegic kwa kuua wapinzani, kuvamia, kubaka wakongo bila kusahau kupora mali asili na chuki kama za shetani hapo nakubali. NAIPENDA TANZANIA YANGU!
wewe sio mtanzania wewe. I can guarantee that. Turakuzi sha.