Why Rwanda is set to become the next Singapore


No facts whatsoever... sounds like some BS.
 

Naona Rwanda, Singapore, JWTZ

Whats your point dude?
 

Huwezi kulinganisha mkoa na nchi ndugu, feel the shame

Ni halali kuilinganisha Dar na Rwanda sio Tanzania

Hata mimi nikipewa rwanda itakuwa mbali zaidi ya hapa
 


I agree but it's geographical position played a great role since is not a landlocked country like Rwanda so the dream of Rwanda to be next Singapore is just utopia
 
Huwezi kulinganisha mkoa na nchi ndugu, feel the shame

Ni halali kuilinganisha Dar na Rwanda sio Tanzania

Hata mimi nikipewa rwanda itakuwa mbali zaidi ya hapa


Mkuu hapa umepotoka si lazima nchi kuwa ndogo ndio iwe imeendelea kuliko kubwa uchumi hauendi vile ingekuwa vile basi Marekani isingekuwa imeendelea maana ni kubwa ukweli pamoja na vurugu za Kagame lakini kwenye mipango ya maendeleo jamaa yuko mbele sie Rais kakalia uswahili na porojo afadhali Mkapa angeendelea maana pamoja na rasilimali zote Tanzania ilizonazo tuko nyuma tulitakiwa tuwe mbele only behind DRC ambao nao tokana na uongozi mbovu wako nyuma ukweli Kagame ni visionary leader sie tumekalia nyimbo za CCM. mnyonge nyongeni na mwenye haki hampeni
 



On changing faces without changing system every 10 years I agree with you 100% something should be done to take CCM out of power but also one person to rule forever like Museveni and Kagame in 21st century is outdated and out of touch, if the system has been changed why Rwanda still rely on one person (Kagame) instead of the system?
 

Haki yake tunampa mkuu

Ila kigali ni ndogo sana mkuu

Hadi waliweza kuweka nyumba za mabati nchi nzima ikionesha ni kanchi kadogo sana
 
Thank God we are far ahead economically than Tanzania despite the fact that we are less endowed.
far ahead how? hunger stricken country and more people under a dollar a day than Tanzania while GDP hardly grows at 4%?
 
Let the Rwandese do that,we Kenyans shall come there for jobs...
 
far ahead how? hunger stricken country and more people under a dollar a day than Tanzania while GDP hardly grows at 4%?

Such a shame that you are bragging about poor dirt Tanzanians yet your 'SUPERIOR' economy doesn't add up anything to counter the crippling poverty in your country.Just because people are dying of hunger,doesn't mean anything much to the economy.In Yemen people don't die of hunger but it is still one of the poorest countries in the world,Tanzania is in that list remember.
 
Don't be mistaken, your hunger is supported by higher percentage of people living under a dollar a day!
 

acha kudandia treni kwa mbele, hujui hata watu wanabishania nini we unaingilia kati tu, ungekuwa mwanamke ungesutwa!
 
Husilete ngoma ambazo hujui kuzicheza. Kama wewe ni mbongo, kagame kamwambia rais wako ata mu hit. Ina maana hata wewe umeamiwa utapugwa. Paka is completely out of Tanzanian Ideology of reconciliation....

Best najua ninachoongea ukiona Baba mwenye nyumba anaanza kuwauliza wanafamilia "hamjui kama mimi ni Baba mwenye nyumba" fahamu kuna tatizo hapo. Mimi ni Mtanzania, nchi hii Kihistoria ilikuwa inaheshimika na kuogopwa na kila nchi jirani, lakini sasa tumekuwa legelege hadi PAKA anasema anaweza ku hit hard Bongo. Wewe unaona hili jambo dogo, inaniuma saanna kuona tumepoteza nguvu yetu ya kiintelijensia, kiuchumi(tulikuwa maskini lakini wenye umoja) kijamii na kimahusiano. Open your eyes Bongo is 100% pocketed!
 
This is not surprising to me given my staunch belief in Pres Kagame's stellar leadership. Na bado!
 
Naona jamaa zake jMali wa FDLR wameamua kuachana na vita na kujisalimisha DRC. Wanataka kurudi nyumbani na kujenga nchi yao. Uamuzi wa busara sana.
 

Stupid, is Rwanda or Kenya doing the best than Tanzania? for what? don't please yourself. May be Rwanda, if not stopped from plundering DRC resources can make the best otherwise mtaendelea kula ndizi tu
 
Huwezi kulinganisha mkoa na nchi ndugu, feel the shame

Ni halali kuilinganisha Dar na Rwanda sio Tanzania

Hata mimi nikipewa rwanda itakuwa mbali zaidi ya hapa

Kwa hivo Zanzibar ikipata mamlaka kamili itapaa kama Rwanda? Yes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…