Why not us called PCCB for interview?????

ICHANA

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
4,765
Reaction score
3,596
First polen wenzang ambao hamkuitwa...uuuups its so sad and its like movie you know what watu tulikuwa tunaisubiria kwa hamu ila tumepigwa chini hta kwenye shortlist hatuwepo..
.....is that true somebody kasema watu tulosomea fani ya marketing,education and sociology tumewekwa pending... mmmh????
Anyway mwaka ushaanza na bado mwanga wa kupata ajira ishakuwa gundu.... mmm kujiajir financial problems... vibarua havieleweki..had tunamuuliza muumba why not us.....
Best wishes mloitwa kwa interview
Pls I need advice mlopata kazi mlipitia tabu kama hizi???
 
pole mkuu tuvute subra sio nyie tu wa marketng, education na sociaolog hata sie watu wa electronics nad telecommunication tumepgwa chini.
 
Pole sana. Mambo ya ajira ni magumu mnoo ndugu. Usikate tamaa ya kuomba kazi. Kwa ushauri anza kuomba kazi yoyote ambayo una qualify. Usivunjike moyo kwa kukosa kazi kwenye mashirika makubwa. Start from the bottom. Kila la kheri.
 
Syllabus za kitumwa,matokeo yake ndio haya! Akili zimekaa kuajiriwa ajiriwa tu!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
First polen wenzang ambao hamkuitwa...uuuups its so sad and its like movie you know what watu tulikuwa tunaisubiria kwa hamu ila tumepigwa chini hta kwenye shortlist hatuwepo..
.....is that true somebody kasema watu tulosomea fani ya marketing,education and sociology tumewekwa pending... mmmh????
Anyway mwaka ushaanza na bado mwanga wa kupata ajira ishakuwa gundu.... mmm kujiajir financial problems... vibarua havieleweki..had tunamuuliza muumba why not us.....
Best wishes mloitwa kwa interview
Pls I need advice mlopata kazi mlipitia tabu kama hizi???

Poleni sana sana tena sana!
 
ICHANA Kama haujaitwa kwenye usaili ni wazi kwamba hauna sifa za kazi walizotangaza. Jaribu tena wakati mwingine au tafuta kazi sehemu nyingine. kama vipi ingia Polisi, JKT au JWTZ.
 
Last edited by a moderator:

we acha tu...me wala sisemi...too tired
 
Huko nako hakuingiliki kirahisi kama unavyofikiria kaka.,kote tight tu
 
ICHANA Kama haujaitwa kwenye usaili ni wazi kwamba hauna sifa za kazi walizotangaza. Jaribu tena wakati mwingine au tafuta kazi sehemu nyingine. kama vipi ingia Polisi, JKT au JWTZ.
huko kugumu kaka hakuingiliki kirahisi kama unavyofikira kaka
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
mikazó Siyo kugumu hata kidogo! Unazo sifa? Mfano, wanahitaji wataalamu wa kuwasaidia ku-investgate....Kigezo kimoja wapo ni ufanisi wa lugha. Wewe kiswahili una C, kiingereza una C. Nafasi zipo 10. Ikatokea watu 40 wamepata B na A kwenye masomo ya lugha. Wewe utaitwa kweli kwenye usaili?
 
Last edited by a moderator:
Tatizo mlikimbia masomo ya science sASA Mmejazana sijui law,socialogy,teaching nk....washaurini wadogo zenu wasome sayansi bwana....akh yani kuna chuo fulani ata wanaosomea ualimu ni wamasomo ya sanaa tu sasa ajira ndo kiboko ata km unakadegree kasanaa
 
Tusilaumu tu kwani lile tangazo waliweka watu wasociology marketing n.k wameweka watu walio wataka huwezi jua wanakazi nao hiyo sio kazi ya bank ambayo ata daktari anaweza kuwa bank teller mngelaumu km wangewataka wakawaacha.
 
Nashangaa sana mtoa mada pole sana coz hizo coz sikuona kwenye tangazo la PCCB kama waliitajika coz hizo wala electronics au telecoms mm niliona coz yangu ila sikuapply cha msingi tusipoteze kufanya application ambazo hatuna vigezo navyo umepoteza pesa yako bure bora ingekuwa online ingekuwa poa lakini umetuma bahasha kabisa wakati hizo course hazikuwepo pole sana
 
Back
Top Bottom