Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,677
- 9,035
Jifunze kujibu maswali kabla ya kuulizaKwani kuna nchi duniani yenye haki zote sawa na wanaume ??
Jifunze kujibu maswali kabla ya kuulizaKwani kuna nchi duniani yenye haki zote sawa na wanaume ??
Natumai umeelewaJifunze kujibu maswali kabla ya kuuliza
Kama wewe kweli sio muislamu huwezi kujua mambo ya waislamu, kama we ni mkristu naweza kukubali kwasabb imani ya wakadiani inafanana na ya christu ndo maana waislamu wana wapinga japo wenyewe wanajitabulisha kua jumuiaya ya wauslamu ila sio waislamu kabisa, kwa mfano moja wa Qadiani wanaamini kwamba yesu alisulumbiwa kama wa kuristu wanavyo amini tofauti liopo wa Qadiani wanasema hakufia msalambani ila wa kristu wanasema alikufa akafufuka, waislamu wana sema Essa messiah hakusulumbiwa wala kuwaua na ma yahudu, Mungu alimnyanyua juu Quran......Qadian/Ahmadiyya na imani ya wa christu vina karibiana sanaa.Mimi sio Mwislamu.
Katika tafiti zangu nimejiridhisha pasi na mashaka.
Waislamu wa Jumuiya ya Ahamadiya ndio Waislamu waliostarabika kupita wa jumuiza za Suni, Shia na ismailiya na nyinginezo.
Na kama Mahdi Gulam, aliwafundisha Waislamu ustaarabu wa kuto kujaa upepo haraka na kulipua watu wasio na hatia, anastahili kabisa kiitwa Nabii wa dini ya Kiislamu.
Muhammadi aliacha sumu ya jabza kwa waumini wake tena jazba kali kabisa kwa karibu Waislamu wote.
Leo ukichana ukurasa wa Qurani ukavutia tumbaku waislamu wote watalipuka kutaka kukuuwa haraka. Shia na Suni wote watalipuka isipokuwa Wa Ahamadiya ambao wamefundishwa Upendo na Amani.
Nakuambia Nabii Mahdi Gulam alikuwa na busara na hekima na uvumilivu kumpita mtume Muhammadi.
Mahdi hajawai kuchinja mtu hata mmoja.
Mahdi hajawahi kuanzisha magenge ya ugaidi kama alivyofanya muhamadi kwa kabila la Bedui
Mahdi hajawahi kuhamasisha vita kuteka watu na kupora mali na wake za watu, kutaja machache.
Jielewe Kwanza ndo uelewekeNatumai umeelewa
mmmmmh hii ngumu kumeza ukweli mchungu sana huu lakini wanakuja wenyewe wako njiani jiandae na matusi ya kila namna
Jielewe Kwanza ndo ueleweke
Jibu swali langu halafu nijibu lako...mbona simple Tu...ulifaulu la4 wewe Kweli?Itakuwa umeelewa vizuri kwani umeshindwa kuniambia nchi yenye haki zote sawa baina ya mwanamume na mwanamke sasa unarusha vichwa
Jibu swali langu halafu nijibu lako...mbona simple Tu...ulifaulu la4 wewe Kweli?
Kama simple si useme tu unarusha vichwa vya kazi gani ??Jibu swali langu halafu nijibu lako...mbona simple Tu...ulifaulu la4 wewe Kweli?
Okay...bye siku ukijibu Kwa weledi nishtueJawabu limo kwenye hilo swali nililokuuliza
Jielewe zaidi hapa
What the New Testament has to say:
1 Timothy 2:11-14 "Let the woman learn in silence with all subjection. But I suffer not a woman to teach, nor to usurp authority over the man, but to be in silence. For Adam was first formed, then Eve. And Adam was not deceived, but the woman being deceived was in the transgression."
1 Corinthians 14:34 "Let your women keep silence in the churches: for it is not permitted unto them to speak; but they are commanded to be under obedience as also saith the law. And if they will learn any thing, let them ask their husbands at home: for it is a shame for women to speak in the church."
Men can shave the women's heads if women don't cover their heads:
1 Corinthians 11:5-10: "But every woman that prayeth or prophesieth with her head uncovered dishonoureth her head: for that is even all one as if she were shaven. For if the woman be not covered, let her also be shorn: but if it be a shame for a woman to be shorn or shaven, let her be covered. For a man indeed ought not to cover his head, forasmuch as he is the image and glory of God: but the woman is the glory of the man. For the man is not of the woman: but the woman of the man. Neither was the man created for the woman; but the woman for the man. For this cause ought the woman to have power on her head because of the angels."
1 Corinthians 11:13: "Judge in yourselves: is it comely that a woman pray unto God (with her head) uncovered?"
Okay...bye siku ukijibu Kwa weledi nishtue
Kuliko hii
Jesus considers women as dirt that defiles men (since Jesus, the GOD, is the one who supposedly inspired the New Testament as Christians claim):
Revelation 14:4 "Those are those (men) who did not defile themselves with women, for they kept themselves pure. They follow the Lamb wherever he goes. They were purchased from among men and offered as first fruits to God and the Lamb."
umeniona mimi tu ???Mkuu mbona unahamisha goli twende kwenye alichosema mtoa mada
Nimeshuhudia midahalo mingi sana kati ya Wa Ahamadiya na waislamu wengine.Kama wewe kweli sio muislamu huwezi kujua mambo ya waislamu, kama we ni mkristu naweza kukubali kwasabb imani ya wakadiani inafanana na ya christu ndo maana waislamu wana wapinga japo wenyewe wanajitabulisha kua jumuiaya ya wauslamu ila sio waislamu kabisa, kwa mfano moja wa Qadiani wanaamini kwamba yesu alisulumbiwa kama wa kuristu wanavyo amini tofauti liopo wa Qadiani wanasema hakufia msalambani ila wa kristu wanasema alikufa akafufuka, waislamu wana sema Essa messiah hakusulumbiwa wala kuwaua na ma yahudu, Mungu alimnyanyua juu Quran......Qadian/Ahmadiyya na imani ya wa christu vina karibiana sanaa.
si tuwekee walau mjadala mmoja tu hapa ??Nimeshuhudia midahalo mingi sana kati ya Wa Ahamadiya na waislamu wengine.
Yote Wa Ahamadia walishinda.
Wako vizuri sana Wa Ahamadiya wanajua maandiko kuliko Waislamu wengine.
Hebu tembelea ktk Jumuiya yao uulize chochote utajibiwa kwa ufafanuzi mzuri sana.
Mpira unaendelea uwanja uleuleMkuu mbona unahamisha goli twende kwenye alichosema mtoa mada
Mjadala mmoja ulihusu.si tuwekee walau mjadala mmoja tu hapa ??
Wewe hujui wa Qadiani wanajua kuchanganya waislamu wa sio jua dini yao, wana Quran zao wamebadili baadhi ya vipengere kwa kiswahili makusudi ili kupotosha wa muislamu wa kawaida ambao hawajasoma sanaa Dini kuwagudua sio rahisi......kama unamjua Qadiani yoyote mwambie aje hapa alete hoja zake hapa hatakubali atakwambia njoo tukutane wawili .....wale sio waisalamu japo wanapenda sanaa kijita waislamu......Nimeshuhudia midahalo mingi sana kati ya Wa Ahamadiya na waislamu wengine.
Yote Wa Ahamadia walishinda.
Wako vizuri sana Wa Ahamadiya wanajua maandiko kuliko Waislamu wengine.
Hebu tembelea ktk Jumuiya yao uulize chochote utajibiwa kwa ufafanuzi mzuri sana.
Ndiyo umetuwekea mjadala mmoja Huo?Mjadala mmoja ulihusu.
" Mwanzo wa Dini ya Kiislamu "
Wa Ahamadiya walishinda hoja kuwa Uislamu ulianza Baada ya Mtume Muhammadi. Na Muhammadi ndiye Muislamu wa kwanza.
Suni, Shia walishindwa hoja.
Kama ningekuwa Mwislamu basi ningekuwa Ahammadiya, wako vizuri sana.
Wewe ambaye sio Muislamu ulijua je kama waneshinda wewe ndo ulikua jaji au?Mjadala mmoja ulihusu.
" Mwanzo wa Dini ya Kiislamu "
Wa Ahamadiya walishinda hoja kuwa Uislamu ulianza Baada ya Mtume Muhammadi. Na Muhammadi ndiye Muislamu wa kwanza.
Suni, Shia walishindwa hoja.
Kama ningekuwa Mwislamu basi ningekuwa Ahammadiya, wako vizuri sana.