Why Muslims fear Islamic Sharia and run away from their own countries?

Naona majibu malefu kama kawayda ya watu wa wauongo wanavo fanya eti unaeleza neno "la nabbiyu baada"hahaha ..... kwa mtu yoyote mwenye basic knowledge ya kiarabu hawezi kutafuta maana nyingine ya hilo neno "hamna mtume baada yangu".........ila kwasabb nyie majahiliya Qadiani au Ahmadiyya kazi yenu ni kupotoshwa ukweli endelea tu.......waIslamu tulisha amka hampati wafuasi , endeleani kutoa soda za bure na vitafunwa kununua watu.
 
"la nabbiyu baada"


Nikuulize; hivi wewe umepitia hata madrasa japo kidogo kujifunza, ا ب ت ث----, yawezekana naongea na mtu hata hajui kusoma aya za Qur'an japo kidogo tu ila kaingia ulingoni kutetea asichojua.

"La nabbiyu baada" ndiyo nini???

Go and learn Quranic arabic in the first place before coming to the debate.

Na hii ndiyo shida ya waislamu wengi sana, hawajifunzi dini kwa kina, wamekuwa kama bendera fuata upepo, wakiambiwa na masheikh wao; Waahmadiyya ni makafiri basi bila ya kutumia akili na ufahamu wao kujifunza na kudadisi kutoka kwa Waahmadiyya wenyewe na kusoma Qur'an na Hadithi kujua ukweli wao huwafuata Masheikh wao ambao mtume (saw) aliwasema ni شر من تحت اديم السماء--- waovu chini ya mbingu.
 
Thats very true...tusiende mbali huko uajemi...mfano mzuri hapo visiwani..jamaa wanafurahia sana kuishi bara..yaani wanaona kuna uhuru mkubwa wa kuanzia mavazi mpaka maisha binafsi...na hata elites wao wote wana properties huku mainland...na hapo ndo majirani hawatumii sharia...je wangeitumia...jamaa wangekimbia nchi yao
 
Saudia,Yemen,Misri,Lebanon,Sasa hata huko Afghanistan,walikuwa unahappy wakati USA ipo,sasa imeishaondoka,na Cha ajabu wakati USA inaondoka hao raia waliokuwa "wamefanywa unhppy na USA"walitaka waondoke na "watesi wao USA!!very clazzy!!!aliyekukosesha furaha akiwa kwenu,unataka uende nae Kwake!!
Mi nirifikili aliyekukosesha furaha akiondoka,unapumua,
Tatizo la nchi za Kiislam/arab ni political Islam,kufanya mambo ya kiutawala na kisiasa kuwa mambo ya kidini.
Yaani unalazimishwa uwatii viongozi wa kisiasa kama wajibu wa kidini na ni lazima mbele ya mtume na Allah(Muslim God).
 
Kuishi nchi za Kiarab ni ishu mkuu, hakuna raha hata kidogo. We umeona wapi mtu unakadiriwa namna ya kuishi maisha yako, kila mtu na mzazi anataka mtoto wake aishi maisha ya karne ya 6 na 7 enzi za Mohammed, kama si ujinga ni kitu gani? Hii ni karne ya 21 na watu wamesoma eti wanatak waishi kama wapo gizani.
 
Unajua kwanini wa nafanya hivo? Sio unafiki waislamu wengi wanalipiza kisasi kwa kuenda kwenye nchi za hao wa chochozi kueneza uislamu wanao pinga
Yaani unahatarisha maisha yako kuvuka bahari ya mediterania!!Ili uende ukalipe kisasi ulaya!!!!??Yaani mjeda akutie mitama uswahilini,harafu wewe usubili usiku,uende Kambini Lugalo kulipa kisasi!!
Wengi wanakimbia mateso,
Kuna mashekh Wana imani kali wanaoitetea Palestina,na kuishambulia Israel na US,Cha ajabu hawapo tayari kwenda kuishi Palestina au Misri!!wanapenda wajifiche Canada,USA,Paris,wakila mvinyo!
Na wanajua wakitia maguu nchi kama Misri,au Saudia,waislam wenzao walio Madarakani watawakata vichwa fasta,sasa kwa kuogopa kufa wanaenda kujificha ulaya,
 
Ni kweli ila hiyo nifikra yako, lakini jambo linalo nifurahisha kwao hawatakuja kukana Dini yao na wanafanya bidii kueneza kwa hari yote........ na uislamu unakua kwa kasi kwenye nchi za magharibu France ina waislamu wazawa na wamuaji 11m sawa na 12% ya wafarasa wote uingereza ina 6m ujerumani 4.5m hi ni idadi kubwa tangu tukio la 11/Sept waislamu USA wameongezeka 4× kwanini?......
 
Kwa nini usiseme Muhammad ndiye alidanganya kuwa nabii wa mwisho?
 
Hao ni wahamiaji wanaokimbia shida kwenye nchi zao! Rejea vizuri kwenye takwimu za nchi husika uone asili zao.

N:B Hata wewe mwenyewe unawaza kuhamia huko, sasa ukifika huko utataka uhesabiwe kama nani
 
Kama wanawanyanyasa why going to Amerika and the like? Mngebaki kwenu mkaishi kwa sharia.
 
Imagine mtu anaongea uongo kama hu tena hadharani; Iraq ya Saadam Hussein ilikua inakaliwa na USA? Mbona Wairaq bado walikua hawana furaha? What about Iran, inakaliwa na USA? Mbona na wao hawana furaha? Sorry, Afghanistan inayozungumziwa hapa ni IPI? YA Taleban enzi za Osama or Afghanistan ya iliokua ikikaliwa na USA au Afghanistan iliochukuliwa tena na Taleban baada ya Osama kufa? Nadhani uliona idadi ya watu waliodandia ndege kutoroka nchini mwao baada ya Taleban kuichukua nchi yao baada ya USA kuiachilia, wamekuja hadi Uganda hapo, sasa hivi ndio wanachukua passport kwa wingi ili watoroke zaidi nchini mwao. Achaneni na kuilamu USA wakati walioko kule (waislamu ) wako happy zaidi kuliko kwenye nchi zao; tutafute mzizi wa fitina, kudanganya hakusaidii
 
Hivi ni
Lini waarabu wakawa na akili? Ni watu waliolaniiwa wale
Wewe unaona waafrica tuko sawa, pengine sisi ndio tumelaaniwa zaidi. Tuko selfish sana ndio maana tunaona uthaifu wa wngine zaidi na kuamini kila kinachosemwa na BBC, CNN hivi tutaamka lini!
Yaani tunakila kitu bado tu maskini na tunapigana hovyo kisa siasa za ubinafsi angalia mataifa ya Africa tu Third World/Dumping place kwa bidha feki na tumekua test ya madawa na chanjo zao yaani tukianza kujizungumzia matatizo yetu hatumalizi leo au kesho.
KWELI AFRICA BADO USINGIZI, Trump aliwahi kusema tunahitaji kutawaliwa tena.
 
Tunisia does not have Sharia. True. But the poorest segment that is running away to Europe are not the secular class in Tunis or Sfax, but the ones from the interior of Tunisia like Tatooine and Kasserine(where most ISIS militants have come from ) where Sharia is culturally enforced in defiance to the secular laws of Tunisia . It is the same to Turkey. All the Turkish migrants in Germany, the Netherlands and Denmark are from Eastern Turkey and Central Anatolia ,where conservativism and people defying secular laws to do things justified by Sharia like Child marriage prevail .There are very few Turks in Europe who come from secular regions and cities like Northern Turkey, Antalya in the South, Izmir or Istanbul .Because in those secular regions, life is good. Jobs are there for the secular class, (whose households have both partners working and there are no cultural or religious restrictions on the women wanting to work in any job she wants) and women are free.
On the other hand, those in Eastern Turkey dream of Europe, then export the same cultural and religious baggage there.
 
USHAMBA MTUPU, eti hata wanawake wa huko ni juzi tu wameruhusiwa kuanza kuendesha magari.

A very stupid, local & poor old life style
Mada nzuri.
Hakuna Mwislamu aliye staarabika anayependa utawala wa Sharia wa kuchinjana na kukatana mikono.

Wahadhiri wa Kiislamu walioko vyuoni, wanaeleza hivyo na wakipata likizo zao za Sabato wanaenda kupumzika nchi za Ulaya.

Nchi za Ulaya zimestarabika kitambo zinaishi maisha ya Karne ya sasa.

Kama alivyoeleza mchangiaji mmoja maisha ya Sharia ni misha ya Karne ya 6 enzi za Mtume wa Kiislamu Muhammadi.

Maisha ya Sharia hayatokani na maamuzi ya jamii inayobadilika kuelekea katika ustaarabu.
Maisha ya Sharia ni kama maisha ya Jera.
Ni maisha ya kulazimisha kufata Taratibu na Kanuni zilezile za karne ya 6.
Jamii yoyote inapo endelea kuishi inajitungia kanuni ndogo ndogo kutokana na wakati husika. Hili halipo katika utawala wa Sharia, kwa mfano, Mwanamke hana maamuzi binafsi katika utawala wa Sharia milele.
Wasio Waislamu hawana haki katika utawala wa Sharia milele.

Ati Mwanamume Muislamu ndiye mtu pekee wa kuwapangia watu wengine namna ya kuishi.
Inasema mahali,
"Asiyetaka dini isiyokuwa ya Kiislamu haitakubalika kwake"

Waislamu lazima watambe kwamba hii ni karne ya 21 mtu wa kisasa hawezi ishi kwa kanuni za karne ya 6.
Dunia ya sasa hakuna Binadamu anayependa kuishi maisha ya karne ya 6.
Ya kulazimisha kuishi maisha ya kale na kuto kuruhusu kusema mtu anavyopenda kuishi leo.

Sheria ktk Nchi za Ulaya zimetungwa kutokana na maoni ya watu wa jinsia zote, na jamii zote na hazikiuki haki za watu wengine.
Ndio maana kila mtu anapenda kuishi Ulaya.
 
Wewe badala ya ku deal na yule Pastor anayewanyoa Mavuz★ "mama zake" before the Altar, (women of the same age as his mother), wewe unakuja kuangalia maisha ya Watu wasiokuhusu!!
Hayo ni matukio ya vikundi vya dini tu na sio maisha ya jumla ya watu. kama hapa Tanzania ukileta video zake atakamatwa na kufunguliwa mashtaka.

Kwenye hoja.
Binafsi nawakubali sana Waislamu wa Jumuiya ya Ahammadiya.
Wanauelewa Uislamu vizuri sana, hawana Jazba, hawana kulazimishana maisha ya Sharia.
Wa Jumuiya ya Ahammadiya nawaona kama waislamu waliostaarabika vya kutosha katika kuishi na jamii zisizo za kiislamu.
Kama Gullam Mahdi wa Qardian India, alihusika katika kuanzisha hii jumuia hakika yeye anastahiri kuitwa Nabii wa Waislamu.
Ameanzisha Uislamu unaoangalia Upendo na mshikamano wa amani baina ya Waislamu. Na pia mahusiano mazuri na wasio Waislamu.
Mi nimewafuatilia sana Waahamadiya na nimejiridhisha kuwa unafundisha maisha yanayo endana na wakati uliopo.
Pongezi kwa hiyo hatua ndugu Mokaze, Allah aendelee kukufunulia yaliyo mema.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…