Mostwanted boy
Senior Member
- Aug 24, 2013
- 115
- 10
nashindwa kuelewa kama ninatatizo la nguvu za kiume au vipi? Nikiwaona mabinti wamevaa nusu uchi uume wangu husimama kiasi cha kuhisi maumivu makali sana!. Napokuwa kitandani na demu jamaa hasimami, akisimama nikivaa kondom analala! Muda mwingine nikiingiza analala ndani kwenye k! Tatizo nn? Muda mwingine najimwagia nikiwa bado kwenye romance! Je natumia muda mwingi sana kufanya romance au tatizo nn? Romance huwa natumia kama dk24. Msaada wenu jaman
Wewe unatatizo Romance mimi huwa Nafanya Saa nzima mpaka na Nusu ila sasa wewe dakika 24 bado ndogo sana! Nakushauli kitu kimoja Hii ni dawa ya Bure kwako, chukua mbegu za Tikiti Maji, na Mbegu za Mapapai, Saga uchanganye na asali Utakuwa unalamba mara Tatu kwa Siku ndani ya Siku tatu Utakung'uta Fimbo mpaka akuhame mkeo ukishindwa npm nikupe nyingine.
umeoa?!.
Unastress wewe, taja kipato chako unachoingiza kila siku.
Muulize vizuri Inawezekana ana Majini!jambo jingine nikimkumbatia demu naweza nikajimwagia zaidi ya mara moja kwa vipindi tofauti. Mathalan naweza kumkumbatia nikamwaga, nikakaa kama dk20 ivi nikamkumbatia tena nikamwaga lkn inshu nikitaka kuingiza inasleep
Hatarinashindwa kuelewa kama ninatatizo la nguvu za kiume au vipi? Nikiwaona mabinti wamevaa nusu uchi uume wangu husimama kiasi cha kuhisi maumivu makali sana!. Napokuwa kitandani na demu jamaa hasimami, akisimama nikivaa kondom analala! Muda mwingine nikiingiza analala ndani kwenye k! Tatizo nn? Muda mwingine najimwagia nikiwa bado kwenye romance! Je natumia muda mwingi sana kufanya romance au tatizo nn? Romance huwa natumia kama dk24. Msaada wenu jaman
bado mwanafunzi chuo