Why Men Aren’t Really Men Anymore

Why Men Aren’t Really Men Anymore

....Ni kweli kabisa....siku hizi uanaume umepungua kwenye jamii....masharo baro wengi ..hasa kwetu uswazi...wanavaa vinguo vya kubana kuweka hereni...kunyoa viduku na kila muda wanaongelea mademu lakini wa facebook....lakin sio ka,a wewe unavyo maanisha hakumanisha hivyo....

Nimekusoma kaka
 
It's all about human psychology (esp saikolojia ya mapenzi na kutongoza) na cultural diversity ndio imeyafanya yote haya...
 
Ni wakati mwafaka basi tuulizane "JE TUTAPATAJE KUPONA KAMA HALI NDIO HII?"
 
Its not just men. We are not just ourselves anymore.
 
Sifa kubwa ya mwanaume ni kujiamin

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Narudia tena...mwanaume mashine..vingine vikorombwezo....mwanaume kosa sifa hiyo ya msingi uone itakuwaje au utaitwa nani....hilo ndilo mimi naloamini kwalo.
 
Back
Top Bottom