Why me?

Hana lolote huyo!

Anapima Oil tu ikoje? kama unammaind endeleza kama usahasahau! Mfanyie Visa, Kwa kwetu uswahilini anapewa mpaka maji ya kunawa, lakini hali ng'o!
 
Mizigo mizito mtupie mnyamwezi wewe ndio mnyamwezi wake saidia kama unaweza ila usitegemee kitu zaidi ya shukurani ya punda
 

Mkuu una moyo kama Mama Theresa wa Calcutta. Hongera asee
 
Nafikiri nikiamua kumsaidia nisaidie tu, ila sio kwa lengo la kunirudishia.
 
I haven't decide yet @ kalukamise.
 
Mwache adili na matatizo yake mwenyewe akisaidiana na wanaomzunguka wenye kujua ukweli wa yanayomsibu.
 

Kama TRA alifukuzwa Holland aliwezaje kusoma mpaka akamaliza? Wewe siyo mtunzi mzuri
 
Ivi hujui ukisoma nje una ruhusa ya kufanya kazi temporary? Sio kila mtu mtunzi ndugu.
 

mie nakushauri hivi, huyo atakuwa anataka kurudiana na wewe na gia ya kukutongoza ni kukuomba hela ili ukiwa unamfatafata kumdia yeye hakulipi ili umfate kwake na mwisho akutege mrudiane hasa kama huna gelofrendi. Wewe kama unataka kulipiza huduma yako uliyomsaidia kipindi kile chapa ilale kisha mpotezee ila kama unampenda basi huwezi jua aweza kuwa ndo mke mwema wako huyoo maana sasa atatulia kwani ametenga na njia wee na sasa ameamua kurudi home.
Mchukulie kama mwana mpotevu aliasi home ila aliporudi alifanyiwa sherehe. All the best.
 
Mmmmmh! Mkunde hapana aisee.
 

Piga chini wangu, huyo mzushi. Ukitaka BP, Shell na kisukari jaribu kurudi kwake.
 
ni dhahiri kabisa kuwa hatobadilika tabia zake hata kwa kupikwa,kubanikwa,kukaangwa wala kuchemshwa,sembuse kusaidiwa kifedha!
 

huyo futa delet kabisa sokwe
akiwa na shida ndio anaona umuhimu wako
kakugeuza ATM inayotembea mwenzio!!
tena akome kukupigia cm aaaalaaaa!!
 
Last edited by a moderator:
I won't go back to her, broken soul. Some might think I still love her but that's not true at all, she just bring back those bad memories.
 
na nyie huwa hamtujui wadada vzr eeh!!!?
km ana hao ndugu wawili uk wanashindwaje kumsaidia?!!!!
hebu tumia akili yako ya kuzaliwa hapo,
mwisho wa cku mnasema tunawachuna
mwambie hela yako haitoki mpaka mshauriane na fiancee wako


piga chini huyo akalie shida na ndugu zake

unless jitolee kumsaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…