Why many Tanzanians don’t support their President

Sidhani kama wanaomsapoti jamaa wanafika 7% nchi nzima msidanganywe na wasaka tonge hali mbaya! Watumishi kawachukza, wafanyabiashara,wakulima ndo hovyo kabisa mazao yao yamenajisiwa HALAFU MTU ANAZOMOKA KUTOKA KUSIKOJULIKANA NA KUANZA KUAMINISHA WATU UPUUZI
 
The guy is actually seen to be supported just through lips of coward, unintelligent and do-anything-for-food people. unfortunately those are the majority.
 
Oooh Man;
You just recycle the same garbage and bullshit in the different thread!

Sometimes you will never know the value of your ignorance and stupidity, until it becomes open secret!
 
I will not indulge in all u said here, but on one thing you are totally wrong.

The Ruling Party is still the most popular party in the country, please lets not hide our heads in the sand.

The Opposition needs to do alot to dislodge CCM from power.

I disagree with you here. The only issue is there is no fair playing ground and that’s why it appears that the ruling party is popular. The truth is, there is no love for CCM anymore.

The party has been in power for almost 60 years now and:

- Millions are still living in poverty in Tanzania
- Poor infrastructure across the country
- Corruption is the order of the day
- Some people have never had running water in their homes
- Millions have never seen electricity before

Our counterparts in Malaysia, Singapore, China etc have made lots of progress since the 1960s even with their single party systems. CCM in Tanzania is pathetic.

The true test is a free and fair election. CCM will go. I promise you that.
 
mh!
 

Nilikuwa na takribani miaka miwili sikuwa nimeenda Dar (Jiji kuu la kibiashara,Tanzania)....

Two weeks ago, nilikuwa huko na kukaa siku mbili.

Nilienda kwa usafiri wa njia ya barabara na nilianza kuingia mjini kuanzia Mbezi, Kimara all the way to Ubungo na kisha City center.

Kuanzia Mbezi sikushangaa sana ubovu wa barabara na shughuli kutokuwa ktk mpangilio maalumu.....

Nilidhani labda ni kwa sbb ya ujenzi wa upanuzi wa barabara hii ya Morogoro all the way to Chalinze unaofanyika (na sijui kama itakamilika kweli kwa sababu niliona mkandarasi kama yuko slow sana. Sijui sababu ni nini)

Baadaye nilitembelea maeneo mengine ya jiji. Nilipita mitaa ya Msimbazi, Kariakoo, Shule ya Uhuru ambako kuna shughuli zisizo ktk mpangilio za biashara za wamachinga kiasi ambacho kama unatembea kwa miguu, utakiona cha mtema kuni....

Baadaye nikapanda ferry nikavuka na kuingia Kigamboni....

Inasikitisha sana kuwa nadhani katika jiji la DSM, Kigamboni labda ndiyo eneo la hovyo kabisa lililosahaulika kwa kila kitu; miundombinu ya barabara, huduma ya maji nk

Kwa ujumla nilishangaa kidogo kuona jiji hili kubwa kabisa, ni miongoni mwa miji chakavu na michafu kabisa ukilingqnisha na miji kama Mwanza, Arusha, Mbeya, Moshi nk....

Pamoja na ngonjera na majigambo ya ya RC wa mkoa huu, Ndg Albert Bashite Malyangili a.k.a Makonda, sikutegemea kuona mji usio na taratibu na miundo mbinu rafiki kwa jamii ya watu wote iwe waenda kwa miguu, waendesha bodaboda, wafanyabiashara wadogo kwa wakubwa nk

Ninachotaka kusema ni kuwa moja ya indicator ya umaskini ni utaratibu wa maisha ya watu wa kila siku kwa kuzingatia mpangilio wa shughuli zao.....
 
Because of a long habit of not thinking
 
Angalia record ya Lee Kuan Yew wa Singapore aliengia madarakani 1959, miaka miwili kabla ya Uhuru wa Tanzania.

GDP per capita ya Singapore ilikuwa less than $500.

Mwaka 2015 GDP per capita ni zaidi ya $50,000.

Same as Japan. Ila Japan ni kama $30,000. Tena wana population more than Tanzania.

CCM ndio imetufikisha hapa. Miaka 60 baadaye bado GDP per capita ni $1,000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…