Ifuatayo ni orodha mpya ya nchi 20 za Kiafrika zenye uchumi mkubwa kwa Pato ghafi la Taifa kwa mwaka huu wa 2021 (Top 20 Latest List of African countries ranked by GDP (nominal) in 2021).
1.
Nigeria $466.88 billions
2.
Egypt $374.89 billions
3.
South Africa $317.19 billions
4.
Algeria $147.323 billions
5.
Morocco $112.220 billions
6.
Kenya $101.048 billions
7.
Ethiopia $95.588 billions
8.
Ghana $69.757 billions
9.
Tanzania $64.1231 billions
10.
Angola $62.724 billions
11.
Côte d'Ivoire $61.5022,billions
12.
Democratic
Republic of the
Congo $46.062 billions
13.
Tunisia $39.2263 billions
14.
Cameroon $39.0361 billions
15.
Uganda $37.733 billions
16.
Sudan $32.576 billions
17.
Senegal $24.4091 billions
18.
Libya $21.8053 billions
19.
Zambia $18.9091 billions
20.
Mali $17.685 billions
N.B: katika list hii nchi 5 zimepanda ambazo ni Tanzania, Kenya, Algeria, DR Congo na Egypt. Nchi hizi uchumi wake umeimarika na kupanda daraja.
Pia nchi 6 zimeporomoka kiuchumi ambazo ni South Africa, Morocco, Angola, Sudan, Tunisia na Libya.
Pia taifa la Ghana ndio ambalo uchumi wake umukua kwa kasi na kupanda daraja kwa kasi kutoka taifa la 13 kiuchumi mwaka 2019 mpaka taifa la 8 2021.
Pia Egypt imeshika nafasi ya pili kiuchumi Afrika, imeiondoa South Africa nafasi hiyo.
Pia Egypt ndio taifa la pili ambalo uchumi wake unakua kwa kasi Afrika.
Pia unaweza kutembelea website hii kuona orodha ya nchi zote 55 za Afrika katika rank ya nafasi zao kiuchumi (see all 55 African countries GDP)
https://lnkd.in/e85-VF4)
Chanzo cha taarifa hii ni kutoka shirika la fedha duniani pamoja na Bank ya dunia, tembelea website hii ya mchumi mahiri duniani Mark-Anthony Johnson kuona orodha mpya iliyotolewa mwaka 2021
Mark-Anthony Johnson on LinkedIn: #Africa #data #InternationalMonetaryFund | 47 comments