I am EXPERY PETER SHIO, student at ST.JOSEPH UNIVERSITY IN TANZANIA.IT SEEMS LIKE THERE IS SOME THING FISHY GOING ON AT LOANS BOARD AND ,AND I DON'T HAVE A CLUE HOW I SHOULD SOLVE THIS,
REG NO:097104042 /BE (ECE).
fourth year 2012/2013.
form four index no: 0042/0480/2006.
i am a fourth year( seventh semester) at the mention college, i am the loans board beneficiary.,
i have being given ( meals and accommodations ) and tuition fees for my studies from the loans board,
by 2009/2010,loans board had not paid for my tuition fee,which is 2,400,000 for my first year of study.since then i have being followed this from the loans board officer MR.MWANGA office no:20 but he always told me and my fellow students to wait, until now i am fourth year and that fee hasn't be paid.
as a result the college is hold us responsible for this and we are withheld from doing some of our end semester exams.
PLEASE ANY HELP?
Nyie ndo ambao hamtakiwi kuwepo kwenye hili taifa. Dogo anaexpress a very genuine problem akiamini hapa ndo kimbilio lake wewe unakuja kutoa kejeli za bei nafuu hivi. Ningekuona hata una heshima na busara kama baada ya kejeli mbuzi zako ungerudi kutoa ushauri afanyaje. Nyie ndo wale mnaofurahia mkiona watu wana matatizoJaribu kuandika hata kwa Kiswahili ili tukusaidie manake naona hiyo lugha bado inapiga chenga kidogo...siyo lazima uandike kwa kiingereza humu JF; labda kama unataka kunyoosha misuli kidogo humu!
andika kwa kiswahili nitakusaidia.
kila la kheri.
Nyie ndo ambao hamtakiwi kuwepo kwenye hili taifa. Dogo anaexpress a very genuine problem akiamini hapa ndo kimbilio lake wewe unakuja kutoa kejeli za bei nafuu hivi. Ningekuona hata una heshima na busara kama baada ya kejeli mbuzi zako ungerudi kutoa ushauri afanyaje. Nyie ndo wale mnaofurahia mkiona watu wana matatizo
Back to the topic:
Dogo nakushauri uchukue vielelezo vyote ukionyesha hatua ulizifanya na ujaribu kuomba kuonana na mkurugenzi mhusika pale pale Loans board. Umweleze kwa undani naamini atakusikiliza na kukuuelewa.
Mkuu hujaelewa nilichomkosoa mdau? naona na wewe upo kwenye trap hiyo hiyo y lugha. In short, nimemsii aache kukosoa lugha aliyotumia huyu mdau mwenye shida Loan Board bali ajikite kwenye kumpatia njia za kutatua shida yake. Inasaidia nini kukosoa lugha halafu huna mchango wowote kwenye dhumuni la uzi wenyewe?Hata wewe bado unakosea tu?...usiogope kusahihishwa au kukosolewa, ni sehemu ya kujifunza. Nahii ni kazi pia ya JF!
Ingekuwa fb ningelike commentMkuu hujaelewa nilichomkosoa mdau? naona na wewe upo kwenye trap hiyo hiyo y lugha. In short, nimemsii aache kukosoa lugha aliyotumia huyu mdau mwenye shida Loan Board bali ajikite kwenye kumpatia njia za kutatua shida yake. Inasaidia nini kukosoa lugha halafu huna mchango wowote kwenye dhumuni la uzi wenyewe?
Ingekuwa fb ningelike comment