Why Kenya is Referred To As a Failed State!

Bravo, painful truth lakini kwakuwa baadhi ya Wabongo hupenda kuandika kiushabiki linapokuja suala la kujilinganisha na Kenya na mleta mada atajifanya hajakuelewa.
Wa'Tz majority are so brainwashed na wengine wanaujua ukweli but they deliberately try so stupidly to deceive those who don't know the real shit. Tumezoea ku'politicize mambo na kujitoa ufahamu hata kwenye obvious subjects. Ni upuuzi wa hali ya juu.
Walioitaja Kenya kuwa ni failed state sio Tanzania, acheni kupingana na ukweli. Hao hao wakisema GDP yenu ipo juu hamkatai, lakini wakisema kwamba Kenya ni failed state, mapovu yanawatoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kua serious wewe,eti failed state...
Failed state ni nchi yetu,imejaa udikteta na demokrasia haimo kabisa ndio failed state!
Kenya walao wana demokrasia inayofanya kazi,wana katiba transformative,sio tunaongelea upumbavu hapa!
I'm a Tanzanian,ila huu upumbavu aisee ni wa kuacha,tujifunze!
😆😆😆😆😆😆😆 mleta mada amebaki speechless.
 
Nimekudharau nilivyosoma eti india will surpass china in 50yrs. Gap is widening niga, mtu anamkimbiza mmarekani, unasema wale wahindi wachafu watampita.
Mbumbumbu kweli ww.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mzee una chuki binafsi na India.....

Chuki yako ina cloud your judgement

Mzee angalia numbers,numbers do not lie!

Aisee,hivi unadhani India ni some slouch nation you are thinking it is?

Sijui hata mnafikiri nini nyinyi!
 
Ahaaa haaa haaa
Huyu jamaa kuongea naye utapoteza muda bure. Kwanza hata mada inayoongelewa haikumbuki tena. Ni sawa na ujumbe ambaye mwenyekiti wa kikao anamuacha tu aongelee mambo ambayo hayako kwenye ajenda.

Kwa AKILI yake eti the headquarters of poverty and uchafu India, anaifananisha na China.
Anajua ya kuwa uchumi wa China unakuwa kwa kasi mpaka they call for cool.

Mzee,tumieni akili kidogo..

As we speak,instantaneous numbers on the ground China ni 10x ahead of India,thats a fact

And thats what it was USA to China 40 years ago...

Inaangaliwa 50 years to come ni lazima China ipitwe na parameters zipo clear kabisa.

China is a ticking bomb on borrowed time!

Tatizo mna chuki zenu binafsi na Wahindi ina cloud your judgement badala ya kuangalia actual numbers na projections on the ground..

Mnaendeshwa sana na unazi wa kiajabu sana!
 
For your information, mimi ni m'Bongo who prefers being realistic. Huu ushabiki mandazi wa kutafuta kujifariji is not my thing.

Mkuu

Haya majamaa yanaendeshwa na ushabiki wa kijinga eti sababu yupo defined na kipande cha ardhi kinachoitwa Tanzania!

Badala ya kuangalia actual numbers na ukweli halisi na tunapokosea tujifunze

Hawa punguani wanakomaa kutetea mediocrity tuliyonayo hapa Bongo mpaka mishipa ya shingo inawasimama!

Hawaelewi Deng Xiaoping alituma grupu la wataalamu wake kwenda Singapore kwa Lee Kuan Yew kujifunza wanafanyaje mpaka wanafanikiwa hivyo

Na kumbuka Singapore ni kadogo kama kamji ka Dar,lakini China imeenda kujifunza!

Hawa wapumbavu unakuta wanashabikia katiba ya kikoloni tuliyonayo sasa,which ni mavi matupu,eti sababu ni Mtanzania...

What pile of nonsense is this?

Sisi tumekaza mishipa ya shingo wakati wenzetu wanapaa kiuchumi,kidemokrasia,etc,hatujifunzi!

Ndio maana mtu yeyote wa CCM hua ana akili mbovu,ndio hawa!
 
Bro Kunte... all you wrote about USA is some how correct, but our cut off point is untamed armaments possession. In US people own guns but in regulated fashion. It's not like in kenya where goats keepers play with a dangerous AK47. Is it simple issue for you?
Kunte I can asure you, in US despite the abandant mass shootings, you can't see people are playing with guns like that. and bad enough, the guns which owned extra legally.
Mkuu hebu ka Google US Ina bunduki haraamu/zimilikiwazo kinyume na sheria, Ni nyingi kuliko raia wa US Mara 2 au zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
For your information, mimi ni m'Bongo who prefers being realistic. Huu ushabiki mandazi wa kutafuta kujifariji is not my thing.

Ukiongea kwa evidence inaongeza maana zaidi kwenye, kuliko kutoka kwenye mawazo yako. Inapendeza sana kila unachoongea hapa kinakuwa na rejea.
 
Mkuu hebu ka Google US Ina bunduki haraamu/zimilikiwazo kinyume na sheria, Ni nyingi kuliko raia wa US Mara 2 au zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app

Hilo siyo suala, hoja ni jinsi gani unadhibiti matumizi ya hizo siraha zinazomilikiwa kiharamu. Pitia video uone wale wakina mama na mabinti wanavyochezea AK 47 kana kwamba nao ni KDF. yaani siraha nje nje. Inamaana waharifu wanaenda kwa hawa wamama na kuazima ili wakatekeleze uharifu.
 
Mzee,tumieni akili kidogo..

As we speak,instantaneous numbers on the ground China ni 10x ahead of India,thats a fact

And thats what it was USA to China 40 years ago...

Inaangaliwa 50 years to come ni lazima China ipitwe na parameters zipo clear kabisa.

China is a ticking bomb on borrowed time!

Tatizo mna chuki zenu binafsi na Wahindi ina cloud your judgement badala ya kuangalia actual numbers na projections on the ground..

Mnaendeshwa sana na unazi wa kiajabu sana!

A corrupt india can never beat a focussed china, go and read the art of war, together with their year book. You will understand that.

Again don't miss the point, in econometric and scientific research we normally use the variables which are defined as anything that has a quantity or quality that varies. They are categorised into three: The dependent variables are variables a researcher is interested in. The independent variables are variables believed to affect the dependent variables. Confounding variables are defined as interference caused by another variable and and control/constant variables, which must be held constant to ensure that we know that how can they can affect the dependent variable.

Now from this insight tell me which variables that convice you that India.
If you compare GDP = f{E, I, Im, Em, GE, error term Ԑ}
If you look at this function, China is the net exporter and India is a net importer. China has a strong policy backing it export through the use of Export Credit Agency which give support their local manufacturers to produce as many as possible dependending on customers needs.
There is no evidence showing that china economy is going to colupse. But we have only the evidence that ''CHINA IS BUYING THE WORLD''.
 
Kua serious wewe,eti failed state...

Failed state ni nchi yetu,imejaa udikteta na demokrasia haimo kabisa ndio failed state!

Kenya walao wana demokrasia inayofanya kazi,wana katiba transformative,sio tunaongelea upumbavu hapa!

I'm a Tanzanian,ila huu upumbavu aisee ni wa kuacha,tujifunze!

Demokrasia inakupa chakula wewe,kafanye kazi.acha kutupia lawama wengine matatizo ya ujinga wako.

Utakaa unaugua vidonda vya tumbo ukilalamika.
 
Wanasahau kwamba everything begins with oneself. If you feel the life is tough, then indeed your life will be tough.
The European Economist believes that 50% is psychology, if the person (minds) think that economy will be good, then they will spend, travel, go for leasure, invest and in turn the economy will do better. But if they are thinking negatively, then they wont do anything. All the economy will respond to their feeling. This is known as the law of invisible hand.
 
A corrupt india can never beat a focussed china, go and read the art of war, together with their year book. You will understand that.

Acha upumbavu,China kuna grand corruption...

Kibaya zaidi wanakula ruling class ya central communist party of China!

Eti hakuna rushwa?!

Nigga are you really using your head?

Nchi za kidemokrasia za kutiliwa mfano duniani kama Japan,Germany,USA au even Singapore hukuti upumbavu wa rushwa!

India is the largest democracy on earth,suala la rushwa litajirekebisha kama linavyorekebishwa taratibu huko Kenya.

Na Kenya is doing this kutokana na mfumo mzuri wa katiba yao,otherwise ingekua shida...

Again don't miss the point, in econometric and scientific research we normally use the variables which are defined as anything that has a quantity or quality that varies. They are categorised into three: The dependent variables are variables a researcher is interested in. The independent variables are variables believed to affect the dependent variables. Confounding variables are defined as interference caused by another variable and and control/constant variables, which must be held constant to ensure that we know that how can they can affect the dependent variable.

Acha story ulizo-copy online huko kujifanya unajua sana Statistics....

Nonsense!

Now from this insight tell me which variables that convice you that India.
If you compare GDP = f{E, I, Im, Em, GE, error term Ԑ}
If you look at this function, China is the net exporter and India is a net importer. China has a strong policy backing it export through the use of Export Credit Agency which give support their local manufacturers to produce as many as possible dependending on customers needs.
There is no evidence showing that china economy is going to colupse. But we have only the evidence that ''CHINA IS BUYING THE WORLD''.

The same copied nonsense!

China hai-invent chochote,anafanya manufacturing ya basic items with basic technology which do not control the world!

Pia kuhusu huu mjadala kila mtu na ushabiki wake,mimi nasema China hatakaa ampite USA,na in 50years India au Brazil lazima ampite,wewe unasema China atatawala dunia,ni sawa,kila mtu abaki na imani yake!

Tukubali kutokukubaliana....you are right and I'm right too!
 
Acha upumbavu,China kuna grand corruption...

Kibaya zaidi wanakula ruling class ya central communist party of China!

Eti hakuna rushwa?!

Nigga are you really using your head?

Nchi za kidemokrasia za kutiliwa mfano duniani kama Japan,Germany,USA au even Singapore hukuti upumbavu wa rushwa!

India is the largest democracy on earth,suala la rushwa litajirekebisha kama linavyorekebishwa taratibu huko Kenya.

Na Kenya is doing this kutokana na mfumo mzuri wa katiba yao,otherwise ingekua shida...

Acha story ulizo-copy online huko kujifanya unajua sana Statistics....

Nonsense!

The same copied nonsense!

China hai-invent chochote,anafanya manufacturing ya basic items with basic technology which do not control the world!

Pia kuhusu huu mjadala kila mtu na ushabiki wake,mimi nasema China hatakaa ampite USA,na in 50years India au Brazil lazima ampite,wewe unasema China atatawala dunia,ni sawa,kila mtu abaki na imani yake!

Tukubali kutokukubaliana....you are right and I'm right too!

Ahaa haa ha ha
Acha drama na povu.

No one can beat China this is why the America is in rival with China. US is looking the China as a comptetitor. It has never thought about India.
But the good is let's stay on what we think is write.
But for me "The Belt and The Road (SINO)" will eventually buy the World.
 
Demokrasia inakupa chakula wewe,kafanye kazi.acha kutupia lawama wengine matatizo ya ujinga wako.

Utakaa unaugua vidonda vya tumbo ukilalamika.

Mkuu,psychologists wanasema hitaji kuu la mwanadamu kabla ya kula kwanza ni UHURU then ndio inafata kula na mengine..

Jinsi hoja yako ilivyo hovyo ingekua haina haja ya kuomba uhuru kwa Waingereza tungewabakiza watuchape bakora matakoni watujengee magorafa na miundombinu kama ilivyo South Africa au Australia,etc

Yanini tuchukue udikteta wa CCM na Jiwe ambao hawawezi fanya chochote hata robo ya Muingereza?

Tungewabakisha wakae watuchape walete maendeleo unayojifanya unayataka!

This kind of thinking inafanya wana CCM staili yako waonekane kama mavichaa hivi!
 
Ahaa haa ha ha
Acha drama na povu.

No one can beat China this is why the America is in rival with China. US is looking the China as a comptetitor. It has never thought about India.
But the good is let's stay on what we think is write.
But for me "The Belt and The Road (SINO)" will eventually buy the World.

You are right,and I'm right too.

Wewe mshabiki wa China,mimi mshabiki wa United States of America,hatutaweza fikia mwisho!

Kama una kingine useme tujadili!

Kuna hoja umetoa eti Tanzania ni ya 51 kwa amani....bro,Watanzania ni wapole,jeshi halijawahi fanya ulinzi wowote,na kwanza halihitajiki!

Watanzania kua wapole wasiopenda fujo haimaanishi jeshi la CCM ndio linalinda sana,hii ni nonsense!
 
Twende kwenye uzi husika tukajadili. But first and fore most, you have to read the Peace Ranking Report.
Please understand that I'm not the one who prepared that.

Sababu ya Tanzania kua peaceful country ni sababu ya wananchi wake na wala sio ubora wa jeshi la Tanzania!

Jeshi la Tanzania hawalindi chochote!

Ni wananchi wa Tanzania ndio wapole hawahitaji ulinzi wa mtu yeyote maana ni redundant!

Hakuna haja ya jeshi la lolote Tanzania,it is a waste of resource!

Adui mkubwa wa wananchi wa Tanzania ni serikali ya CCM,basi!
 
Back
Top Bottom