habari zenu wanajf...
niko kwenye wakati mgumu sana sasa, najaribu kila hali niweze kumsahau mwanaume ninayempenda ambaye naweza kusema uwezo wa kuwa naye tena haupo kutokana na migogoro inayoendelea kwa mda mrefu sasa kati yetu tangu last year in July. wadada na wakaka hebu fungukeni huwa mnafanyaje kuwasahau wapenzi wenu mliowapenda kwa dhati na mkajikuta hamna uwezo wa kuwa nao tena? ushaur wenu unahitajika katika hili, maana nashindwa kumweka mtu mwingine katika moyo wangu....