Why isn’t the Minister concerned to intervene in private schools?

deblabant

JF-Expert Member
Oct 7, 2022
899
1,332
In private schools there is a lot of torture. One can be employed and invest all his life on the concerned schools but all over sudden become terminated unnoticeable and without being given warning of what he/she has done if mistakes or not.

Above all there are some schools which are totally enslaving graduates by being paid one hundred thousand per month and a person is a degree holder. Some go even further to withhold phones the whole day i.e no communication at all even to the sick ones at home.

What is Mkenda doing at office if things are horrible like this?
 
Acheni ulevi, uvivu, kutembea na wanafunzi pamoja na ujeuri mbele ya tajiri.

1. Mtu amejinyima mengi akaanzisha taasisi yake ili apate hela halafu wewe unaenda na matendo ya kumkwamisha unategemea atakuacha uendeleze uhalifu?.

2. Kuna nyakati hizi shule zinajiendesha kwa hasara kubwa, hali hii inapelekea mmiliki kushindwa kuvumilia maumivu na kuamua kupunguza wafanyakazi.

3. Someni taratibu na miongozo ya shule hiyo kabla haujakubali kulipwa laki moja na kama unadhani hiyo laki ni ndogo basi fanya kazi zingine uipate maana haujalazimishwa kwenda kwake.

4. Vijana acheni kulaumu kila siku, iambieni serikali yenu iwape ajira au mjiajiri, kwa vile demand yenu ktk sekta ya ajira ni ndogo kuliko suppy.
 
Lakini private si ndio wana matokeo mazuri???

Walimu fanyeni kazi
 
Hongera kwa mchango mzuri sana, lakini dalili zote zinaonyesha kwamba mleta mada hajui Kiswahili hata kidogo. Sijui utamsaidiaje?
 
Hizo shule za private zinazoajili watu wanaolipwa posho ya laki moja kwa mwezi, ni zile za pangu pakavu tia mchuzi, hivyo usitegemee kama zitaajiri foreigner hata mmoja zaidi ya waswahili wanaoishi chini ya msitari wa ufukara.
 
Back
Top Bottom