pole best,inawezkana ww ndo unapenda mwenzio hana mpango nawe.
jtahd usiumie zaid achana nae nachoamin m2 km unampenda hauwez ficha hisia,inawezkana mwenzio anaku2mia km boya huku kuna m2 mwingne anaempenda kwa ukweli.
mweleze unavyojfeel kutokana na hzo tabia zake km haelewek achana nae hakufai.