Kinachonishangaza ni juhudi kubwa anazotumia Rais Magufuli kupeleka reli ya umeme Rwanda wakati uchumi wa Rwanda ni sawa tu na uchumi wa Dar peke yake! Vipaumbele vya Magufuli vinashangaza sana
Reli ilitakiwa iishie Lusahunga Biharamulo basi!!
Hiyo ndio ingekua akili kubwa ya Kiuchumi na sio kuwapelekea Wanyarwanda Reli mpaka chumbani ili wao watumike kupokea mizigo ya Kongo na kuihifadhi kwao. Watapata faida Mara mia ya sisi tuliopoteza mashamba,kodi na ardhi yetu kujenga hiyo reli.
Hivi ni nani anaishauri Serikali ya SiSeMi.
Hivi SiSeMi haioni kuwa Katiba ya nchi hii inamfanya MTU mmoja kuwa na nguvu kuliko Chama na serikali yote na kushika na kuongiza nchi anavyotaka?
Hali hii na katiba tuliyonayo ikiendelea kuwa hivi ipo siku hii nchi itawekewa kiongozi Pandikizi la magaidi na nchi kuwa kama Afghanistan ilivyokuwa mana kwa katiba tuliyo nayo Akitokea mkuu Mwenye imani Kali ataipeleka nchi atakako na watu wataufyata na wateule wake na chama chake watatii ili waendelee kula keki ya taifa kwa matakwa ya MTU mmoja.
Mambo makubwa kama ya kujenga Uchumi wa nchi na mahusiano na nchi jirani kama Rwandanda yenye historian ya vurugu ,vita na mauaji na ukabila yangehitaji mjadala mpana sana wa kitaifa sio kukurupuka kirafiki.
Rwandanda ni kama kashamba ka Kagamegame lakini Tanzania haiwezi kuwa ni shamba la bibi kwa karne hii.
Ogopa kuungana na mtu anayejiamini na kujiona ana akili kuliko wewe.
Rwandanda chini ya Kagamegame wanajiona the besti na wanaweza kufanya wanachotaka. Bahati mbaya wameishika Nchi yetu kwa manufaa yao.
Awamu ya NNE chini ya Ltn. Col. J.K. walifanya utafiti wa kiuchumi na kiusalama wakaona Rafiki wa Kweli wa Tanzania ni Burundi na Congo sio Rwanda. Rwandanda ni jirani anayesaka maslahi kwa namna yoyote.
Kwa mfano unapotoa Mapori ya akiba kuwa vijiji ni lazima pawe na uhakiki mkubwa wa uraia mana mapori mengi ya Kagera wamejaa Wanyarwandanda. Watu wasio na tija na uchumi wetu zaidi ya kuweka mapandikizi kwenye siasa hasa wakati wa uchaguzi wakati Mgogo hawezi kugombea udiwani Rwandanda akapata lakini kwetu wamejazana na wamejifanya ni watanzania.
Uzalendo sio kupambana na wanasiasa Bali kulinda mipaka ya nchi na wavamizi wanaovamia na kukalia ardhi yetu kwa manufaa yao.
Namuunga mkono Museveni Kukataa na kuamua kuondoa tatizo Afrika Mashariki na Kati.
Sent using
Jamii Forums mobile app