R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 51,931 Reaction score 101,458 Nov 16, 2025 #1 Tujaribu kubashiri kwa kutumia possible legal reasons kwanini majaji waliamua kitotoa lini kesi itaendelea.
Tujaribu kubashiri kwa kutumia possible legal reasons kwanini majaji waliamua kitotoa lini kesi itaendelea.
Carlos The Jackal JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 29,133 Reaction score 93,287 Nov 16, 2025 #2 Uzuri Mh LISSU kasema Yuko tayari kua wa Mwisho. Waache waendelee kucheza na Haki za watu. Jukumu yao imefika.
Uzuri Mh LISSU kasema Yuko tayari kua wa Mwisho. Waache waendelee kucheza na Haki za watu. Jukumu yao imefika.
Nyoka kibisa JF-Expert Member Joined Nov 30, 2014 Posts 943 Reaction score 2,587 Nov 16, 2025 #3 Walienda kukaa na dola kupima upepo wa hali ya hewa. Na jamaa hatoki mpka baada ya dec 9 hata hao vijana waliopewa kesi ya uhaini hawatoachiliwa mpaka baada ya dec 9
Walienda kukaa na dola kupima upepo wa hali ya hewa. Na jamaa hatoki mpka baada ya dec 9 hata hao vijana waliopewa kesi ya uhaini hawatoachiliwa mpaka baada ya dec 9