Why Foreign Diplomats must handle Zitto Kabwe with care

Names meaning never lie
 
Zito amekuwa mtu mzito haswa kwenye sekta ya kuzusha mambo yasiyokuwa na ukweli wowote usipo msoma au kumsikiliza kwa makini unapotea
Kaliwahi kusema ndege zilizonunuliwa zilikuwa zimeshatumika. Kapuuzi tu!
 
Rubbish! Tuna tabia ya kuamini mambo ya “kutumwa” for your information mleta mada - foreign diplomats are better than you think. Most are not appointed like we do our own. They have intelligence officers in their ranks that do stuff you cannot imagine.

Tujifunze tu kuwa naturally humans think differently. Msilazimishe anayewaza tofauti na ninyi kuwa ni informer wa wababe wenu!!
 
Watu wa nje wana njia zao za kupata taarifa sio kweli kwamba wanamtegemea Zitto kihivyooo. Serikali hii ni unpopular to the masses. Msilazimishe Watanzania wapende wasichokipenda
 

Its easy to change attitude than behaviour.

Zitto Kabwe will soon learn to change his attitude towards both sides.
 
tofauti lugha tu hapo, aliochoandika ni sawa na ambacho angeandika kada Gentamycin kwa kiswahili. Hasa ile sehemu ya Mao.
 
also commented t






*When ZITTO left Chadema,he made accusations against Freeman Mbowe, a party chairman. Good enough, the Chadema leadership has not made a point of responding to some of the issues raised by Zitto, knowing he is a man who just fueling conflict in society by arguing issues of accountability, transparency, human rights and democracy. The same today* so ur trying to fuel contradiction and division among opposition?
 
Since 2014 tulishaambiwa kuwa Zitto si mtu wa kumsikiliza, jamaa ana personal agenda zake katika siasa. Ameshindwa kuendeleza kwao Kigoma badala yake yuko kwenye siasa kutafuta ulaji ili ajitajirishe. Wamteke tu na kumkashaggi, tumemchoka kitambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…