[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Light has a weight if you put in a scale kwhy nafkr swali lako limeishia hapa
Momentum haiwezi kuexist kama hakuna mass..au kama unaconsider 0 ni value hapo sawa.Light has no mass, but it do possess momentum, hence it has weight because gravity is caused by momentum and not mass.
Kumbuka kwenye black hole gravity ni kubwa sanaaa, Kwa maana ya kwamba space time inakuwa imebend sanaaa to infinity. Kama tunavyojua sehemu yenye gravity kubwa zaidi au black hole time inakuwa slow and slower zaidi kiasi kwamba kwa observer wa nje ataona Kama hausogei.Sema Kuna concept moja inayonichanganya,ni kwann mtu aneyafall inside a black hole anaonekana kama ameganda hasa anapokaribia event horizon kwa observe aliye mbali na black hole,wakati kiuhalisia anakua anafall tu kawaida!!!?