Why do women cheat...

Halafu kuna mtu aseme ati watu wataacha kudumisha MILA homeboy? kwani kimapokeo si ndo kuna MILA ndani yake au sio😀

MILA is there to stay homeboy! Na kijana wetu atapewa miiko yote ya jinsi ya kudumisha mila bila kuleta athari chini ya paa.
 
Askofu mie nina hofu na mashaka na imani yako ...ninaweza kuwa mmoja wa wanakondoo kiroho zaidi

Ukishakuwa na mashaka na imani yangu hata maombezi yangu utakuwa na mashaka nayo.... Muombe Mungu akuongezee imani, kiasi cha chembe ya haradali.... Lakini unakaribishwa hekaluni, ndio kazi zetu sisi watumishi wa Mungu, kukujenga ki-imani
 
Hatudumishi MILA Chrispin, yeye akija na imani yake ya kimapokeo, tunamjengea imani ya kiroho zaidi

Basi hapo umeumia. Huyo kijana humpati! yeye na mila ni sawa na nywele na saluni!
 
Tunamuweka kwenye sala zetu hasa kipindi hiki cha Kwaresma, Mungu atamsaidia abadilike na aachane na hizo MILA zake
MILA ataziacha kweli??maanake pamoja na kuwa mzee wa kanisa,MILA AMEENDELEA KUZIENZI
 
Lol Firstlady1, does your hubby satisfy all ur kitchen desire???, If not, please accept my invitation, im ready to take hold of u any way any how!! I am here to rescue any unstable marriages especially those women who looks for a place to commit a revenge.
by the way "Uko kikazi zaidi 2010",,,,lol ......kazi gani hiyo????
 
it looks like hujaielewa sredi!
 

redcard mbona unanionea mwenzio sihitaji kitu chochote na wala sina tatizo hapa tunashea idea tu ...hebu rudia tena kusoma hako ka mada na mijadala zaidi utapata mwanga

2010 niko kikazi zaidi ..kilimo kwanza ...family matter km uzazi wa mpango etc etc
 

kusimamia na kushauri ndoa ofukozi......hujaiweka ila ni moja ya kazi zako mwaka huu
 
kusimamia na kushauri ndoa ofukozi......hujaiweka ila ni moja ya kazi zako mwaka huu

Vyeo vingi maslahi madogo ..kweli kujitoa yataka moyo bestlady
Asante kwa kunikumbusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…