Hahahaaaaa! Ishu ni kuwa mwanzoni watu FULL KUPRETEND na KUIMPRESSIANA. Sasa mtu unafall kwa FEKEROOOOO! Akija ORIGINEROOOO anakuchosha tu na kukubore mwanzo mwisho. Mwanzoni omba lolote, utapewa, muite mda wowote atakuja ndio FEKROOOO! hiyo. Ila mkizoeana REASONING na LOGIC zinaanza, HAPO CHACHA!!!!!!