Why do Tanzania need changes and why now? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Why do Tanzania need changes and why now?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Livanga, Aug 30, 2010.

 1. Livanga

  Livanga JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2010
  Joined: Apr 15, 2010
  Messages: 458
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Ndugu wananchi wenzangu wana JF na wakereketwa wote wa MABADILIKO ni vigumu kuamini lakini inatubidi tuamini kwani tumeona baada ya kusikia mwanasheria na mwanzilishi wa vyama vingi akisema na kutaja waliosababisha EPA na kama hilo halitoshi ili kudhibitisha kuwa ni kweli TBC wakakata matangazo ingekuwa ni uwongo wangeacha.

  Nina amini kwamba watanzania sio wajinga tena na wala sio viziwi na wana akili za kuchambua mbivu na mbichi. sasa the ball is in our hands we are the once to play it. We have all the rights to do what we think is right and no body will ask us.

  The reason am saying these for Chadema are
  1. They know the source of the problem
  2. They can start from the scratch and change everything
  3. Wanapojikomit manake ni kwamba wanajiamini na wana uhakika kuwa wataweza kutekeleza kwa muda waliojiwekea kwani hakuna hata chama kimoja kilichowahi kujikomit
  4. Ni tumaini letu pekee kwa sasa
  5. Hawana ubaguzi na sera zao zinatia moyo
  6. Wengi wana sera lakini tumechoka kudanganywa na chama kimoja
  7. The big thing is kama tukijaribu chama kingine apart from the rulling party tutawapa changamoto ya kutekeleza mengi waliyoahidi ili kufanikiwa kurudi madarakni awamu inayofuata
  8. Mpira upo mikononi mwetu na wakati wa kuamua ni sasa kwa faida yetu wote watoto wetu vizazi vijavyo na nchi kwa ujumla
  9. Mimi na wenzangu wengi tunasema WE NEED CHANGES AND THE CHANGES STARTS FROM YOU AND ME


   Kilichotokea jumamosi Jangwani ni ishara ya wananchi kuchoshwa kudanganywa kama watoto na nia ya watu kuona maendeleo yao na nchi kwa ujumla. people we need changes

   Sikuwa kweny ufunguzi wa CCM hivi walianza na sala pia???????
   MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE​

  [/LIST]
   
 2. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2010
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ha ha ha ... ccm wanafanya sala za kinafiki tu.

  chama kinaendeshwa kwa nguvu za ulogi, ulozi, uchawi, majini, giza, shetwani, satan, devil, na mabaya yoote ya shehe mkuu wa wachawi tanzania - yahaya wa huseni
   
Loading...