Sijamaanisha kwamba maisha hayaeleweki Mkuu.SIDHANI KAMA WEWE UNGEKUWA MWANAMKE UNGEPENDA KUOLEWA NA MTU AMBAYE MAISHA YAKE HAYAELEWEKI.NI NATURE YAO MKUU
Sawa!Hivyo ndivyo inavyotakiwa kuwa, hata ktk maandiko Mungu alimpa Adam kazi ya kufanya na chakula cha kuprovide ndio akampa mwanamke. Nikuulize tu, utapendaje mambo magumu, yaani unapenda kitu kibaya wkt kizuri kipo?
Sijamaanisha kwamba maisha hayaeleweki Mkuu.
Ukisema maisha hayaeleweki inamaana ushapoteza dira ya maisha kabisa na haujishughulishi wala nini.
Upo katika utafutaji lakini hauna hela nyingi sana,gari wala wala nyumba!
Pia inabidi wakiwa wanafanya hivyo nao wajiulize na kujitathimini kama wana hivyo vitu?Kila la heri kwao japo najua sio wote ..wafanye ile inaitwa sorting process ...huyu ana hela, huyu hana masikin maisha yake hayaelewek siwez kua nae,namuondoa huyu kwenye list naenda kwa jamaa mwenye hela gari na kaz nzuri na aliejenga.