Congressman ni mdogo kwa senator as far as prestige is concerned, congressman ana represent district ya state wakati Senator ana represent state. Kwa hiyo wengi wanaotaka kuja kugombea urais hupanda ngazi na kuingia kwenye Senate.
Rep Denis Kucinich amekuwa akigombea urais wakati akiwa Congressman.
Rais James Garfield alichaguliwa rais akiwa Congressman 1880.
Kuna marais wengi (Johnson, Nixon, Ford Bush the father) wamekuja kuwa marais baada ya kuwa vice-presidents, lakini kabla ya kuwa vice presidents walikuwa congressmen na si Senators. I guess unaweza kuwadisqualify kwa sababu walikuja kuwa VPs