Why did I get Married?

HIKI NDICHO NINACHOKISEMA nyamayao kuhusiana na kuoa for the love! yaani iko siku tu love itapoteza mvuto na haitakuwa sababu ya msingi ya nyie kuishi pamoja bali zile nyingine. Aksante nyamayao kwa kunisaidia kuiweka vizuri hii mada.


kakishapatikana ka baby.....
 
zaidi ya mapenzi..

Ucha Mungu wake..

kila nikienda kwake nakuta amesafisha nyumba na kuipanga vizuri (mwanzoni nilidhani kuna kamsaidizi kananisaidia lakini baada ya kuchunguza kwa makini nikagundua ni yeye mwenyewe)..

sikuwahi kuhisi kuwa ana mwingine zaidi yangu,

malove dove...

sauti yake...inanipa goose bumps (except tunapokuwa tumekorofishana)

uchangamfu wake, ukarimu, kujali, kuwa responsible

kutokunywa pombe wala kuvuta sigara



hayo juu na mengineyo ndiyo yaliyonifanya nimgande kuliko ruba
 
madame niliyopitia yananitosha hata sitaki kukumbuka maumivu yoyote
naona mwenyezi mungu kaamua kunyoosha mkono wake kwangu ..cause naweza kukwambia ya kwangu ukaona hee kumbe yako yana nafuu .

pole mami kwa hilo na hongera kwa kushinda mapito......mie naitaga mapito tu hayo.
 
 

Thanks VC,

The philosophy is clear, we have to seize the best chances and utilize fully whatever resources available for us!!!
 
madame usininyime kadi coz nataka niwe mmoja wa mashaidi wa tukio hili
FL& Carmel,
Mnataka kushuhudia mmetoa mchango?I'm just kidding my dear!!

Kama mpo serious mnaweza pata kadi ya kitchen party na send off party , kama mjuavyo huo ni upande wangu kikeni hivyo itakuwa rahisi kupata kadi hata kama hujachanga. Kama mpo serious just PM.
 
Kuchanga si tatizo, tatizo hujatukaribisha hata kuchanga! usijali mpenzi all the best. mengine pm.
 

madame mchango utaupata count on me
ngoja kucheki huko PM
 
As for me LOVE na Personality ndo vilinifanya nione kwamba i can spend the rest of my life with him..
Ingawa after ndoa changamoto ni nyingi sana ila he is still my number 1.
Challenge ni part of marriage and since he is not an angel basi tu nakomaa
For those ambao hamjaingia huku make sure u make the right decision..
Living under the same roof na mtu usiyempenda needs a heart ..its a tough job..
Ndoa siyo harusi,ama sherehe.. ndoa ni yale maisha mtakayoishi pamoja
 

Daah umenitonesha sana.... Sijui nianzie wapi aisee....

All in all asante Yesu maisha yanaendelea ila......
 
Maneno mazito sana haya mkuu
 
MIMI NATAKA KUOA COZ NAOGOPA KULALA PEKE YANGU MJUMBA MKUBWA USIKU NAHISI KUNA WAGENI SEBULENI MARA TAA ZIZIMWE NA KUWASHWA NA WASIOONEKANA........JAMAN NATAKA KUOA MKE TUTAKAE SHARE NAE HAYA MATATIZO HASA HILI LA KUPIGWA MAKOF NA HILI LA KUAMKIA UVUNGUNI WAKAT NLILALA KITANDANI
 
Mmmmmnnnnhhhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…