Ngoja nikae chini nifanye ile kitu inaitwa 're birth', with it akili yangu ita rewind taratibu,nitapata picha nzima ya maisha yangu kikiwemo kipindi cha kufukuzia,ku win,kuoa,mwanzo wa timbwili,talaka,kupenda tena, kuoa,valangati,talaka tena...............another circle......well ....well....nikimaliza hilo zoezi God willing nitarudi kwenye uzi huu,in the meantime good evening Gaga and the rest of the members mliopo kwenye hii thread.