Mbaya zaidi sasa wameanza kuchunguza habari zake nyingi alizowahi kuziripoti ili kuona kama alikuwa anatia chumvi.
Ila mimi nahisi wengi tu wa hawa maripota huwa wanatia chumvi na yeye si wa kwanza kubambwa.
Kibaya kwake ni kwamba kabambwa tu sasa hivi na kwa Marekani ukiwa mwanahabari halafu ujiharibie uaminifu wako ndo basi tena.
Actually I would if I could......:lol:
Wameshazipata tano ikiwemo ya Hurricane Katrina in New Orleans (2005)

Kwa kweli inashangaza sana kuona mwanahabari wa siku nyingi kama yeye tena kwenye hizi zama za utandawazi kutia chumvi na binzari kwenye habari zake.
Ni rahisi mno mtu kukamatika siku hizi.
Sijui alikuwa anawaza nini tu.
Binafsi sidhani kama atarudi tena hewani na kuendelea na nafasi aliyokuwa nayo.
Tusubiri tuone Muke ya Muzungu wanaweza kumpa. He deserves this position.
Actually I would if I could......:lol:
At least NBC wameonyesha accountability, but those folks at Fox News, they lie everyday na hakuna anayekuwa suspended!.
Keshakuwa suspended 6 months .lester holt ndio boss wao sasa hivi .akiamua kuacha William atalupwa 50 million naona oreilly ashaanza kumsifia here he comes foxnews
At least NBC wameonyesha accountability, but those folks at Fox News, they lie everyday na hakuna anayekuwa suspended!.
Dan rather yeye alidanganya story ile ya Bush jeshini .Dan rather alikuwa anataka kumharibia Rais .Mpaka sasa Dan rather yupo yupo tu kwenye network zisizotambulikaMarekani ni strictly business. Hamna undugu wala ujamaa kazini. Low ratings = huna kazi au program yako inaondoshwa hewani. Yule kizee Dan Rather wa CBS walijaribu kila kitu lakini wakashindwa. Sura ya kizee = low ratings.
It's interesting that the piece cites a Reagan story in parallel.
Could Williams be undergoing some early stages of Alzheimer's or a similarly mentally debilitating condition like Reagan did?
Or is that just too convenient?
Kipi ambacho Fox News wamewahi kudanganya halafu hawakuomba radhi?
Kila binadamu ana exaggerate .Hillary Clinton Bosnia story alidanganya .wengine wanadanganya walienda jeshini Kumbe hawajaenda.William situation hawa ku handle well
Kila binadamu ana exaggerate .Hillary Clinton Bosnia story alidanganya .wengine wanadanganya walienda jeshini Kumbe hawajaenda.William situation hawa ku handle well
Keshakuwa suspended 6 months .lester holt ndio boss wao sasa hivi .akiamua kuacha William atalupwa 50 million naona oreilly ashaanza kumsifia here he comes foxnews
It might not be a big suprise if BW go to Fox but maan!, that'll be quite a shift!
Wameshazipata tano ikiwemo ya Hurricane Katrina in New Orleans (2005)