Risk manager
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,803
- 17,417
... and this is the big concern brokerlarger losses and is a concern for regulators
Ila ukipiga unapiga kweli😂😂. Trading financial assets kuna risks kubwa.... and this is the big concern broker
Imagine trader is given a leverage of 1:2000 to Unlimited
View attachment 1932068
--
Yaani unapewa leverage kubwa ili ukaange account yako mapema
Yap.Ila ukipiga unapiga kweli
Trading financial assets kuna risks kubwa.
True, sema kupata consistency ndo ishu kubwa. Watu wanataka kupiga ROI ya asilimia 200 kwny soko wakati hedge funds na investment cmpnys zina ahidi 20% ROI kwa mwaka au mwezi na ndo wanaingia na mitaji tembo kwny kutrade financial instruments ila sisi ma trader wadogo tunataka matokeo tembo kwa mtaji wa kidebe.Yap.
Haitakiwi kubahatisha.
Unachotakiwa kutafiti ni Currency Pair ipi:-
Then Fanya Top Down Analysis; Pin point entry kwenye m5, Waweza kuza $100 na ikawa $500 ndani ya siku chache.
- ina_Trand zaidi na sio ina Range
- Ina Higher Trading volume hasa wakati wa London/New York session
- Ina low volatility
Hii inawezekana kwa XAU, GER30, US30 iwapo utafanya scalpingROI ya asilimia 200 kwny soko wakati hedge funds
bila kumsahau bwana mdogo ZAR na wakina V75Hii inawezekana kwa XAU, GER30, US30 iwapo utafanya scalping
Kikubwa ni Entry Timming, Kosa kidogo umekaanga account
Afu Sasa jinsi unavyokuwa na pesa ndefu Sana na unawala wanakupunguzia leverage.... and this is the big concern broker
Imagine trader is given a leverage of 1:2000 to Unlimited
View attachment 1932068
--
Yaani unapewa leverage kubwa ili ukaange account yako mapema
Hope emotions imemtawala tayari. To escape human emotions you need to be abnormal personYap.
Haitakiwi kubahatisha.
Unachotakiwa kutafiti ni Currency Pair ipi:-
Then Fanya Top Down Analysis; Pin point entry kwenye m5, Waweza kuza $100 na ikawa $500 ndani ya siku chache.
- ina_Trand zaidi na sio ina Range
- Ina Higher Trading volume hasa wakati wa London/New York session
- Ina low volatility
View attachment 1932167
Haitakiwi fedha ya mawazo uweke kwenye fx
Na Nina Imani ukiwa unawala Sana watakukataa Kama Jesse Livermore alivyokataliwaga na Bucket shops nchini kwao Uk ikabidi azame USA New York ili atredi real legitimate market... and this is the big concern broker
Imagine trader is given a leverage of 1:2000 to Unlimited
View attachment 1932068
--
Yaani unapewa leverage kubwa ili ukaange account yako mapema
kalibia naanaza kumtapisha hela zangu zote nilizomkopa brokerAfu Sasa jinsi unavyokuwa na pesa ndefu Sana na unawala wanakupunguzia leverage.
Sema huku belowa $1k wanajua in long run utaipoteza tu hata iweje.
Mana human demons hazitokuacha salama like greed,ego and fear are in-built in our DNA.