Why Catholic seminaries excel in exams

.....kiongozi kumbe madudes ya kilatini yana panda.....he!he!he!.....mambo ya Amo, amas,amant.....! Cassa, cassae......Agricola, Agricolae.....! amabus......daah! Those days acha tu......!

Bwana wee..Mambo ya Declension Nouns hayo(1-5 Declension Nouns)..hahaaa

Sema mi nilikuwa napenda sana zile misa za kilatini(mnasali kwa kuimba imba tu)..Mambo ya 'Gloria in Excelsis Deo', 'Credo in unum Deum', Tantum ergo sacramentum', 'Agnus Dei, qui tollis peccata mundi, miserere nobis', Salve Regina
mater misericordiae: vita, dulcedo..........

Yaani ilikuwa inapendeza hasa...
 

Nitakuwa nilimiss vitu vingi Seminary, Nilifaulu Visiga pamoja na Kibasila but my Parents wakanishauri niende Kibasila but my friends kibao walisoma pale Visiga nikakutana nao Ilboru na wengine ni Wandisi, wanasheria, Madaktari nakadhalika
 
s2277 busi secondary school


div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 0 div-iv = 10 fld = 82
 
It is the discipline in terms of teachers commitments, students motivations and demanding school program. Moreover, it is the facilities, not forgeting God's intercession.
 
Discipline from teachers, students to workers. There is a lowest pass mark for the exams. For instance for form two exams is an average of 41% while under NECTA is 21%. Under 41%, a student repeats a year; fails again expelled. All of them are boarding schools - helps a lot!
 

Prayers!
 
Mimi nimesoma seminari ya Maua O-Level wakati Rector (kiongozi wa shule) alikuwa marehemu Fr Placidus Meir. Mambo ya chakula,mahali pa kulala na mengineyo nimuhimu kwa mwanafunzi kwa upande wa afya ambayo huleta rutuba kwenye brain.

Kule seminari wanachoshinda shule nyingine zote mpaka wao wanaibuka videdea ni NIDHAMU tu! Nidhamu katika pande zote, sheria za shule na pia wanafunzi kwa waalimu. Katika hali ya kawaida Mwalimu alikuwa hawezi kukosa kipindi hata kimoja pia mwanafunzi alikuwa hawezi kukosa kipindi. Kulikuwa hakuna ruhusa za ovyoovyo, unaweza ukamaliza muhula mzima hata mjini hukujui,kulikuwa hakuna matabaka ya mimi mtoto wa mkubwa,yalikuwa ni maisha ya kila kitu kukabidhi kwa Mungu kwamba yeye ndiye kiongozi wako,ni maisha ambayo mwanafunzi kuanza kuwaza vitu vya ajabu si rahisi kwa sababu maisha yake yapo kwenye ratiba masaa 24 huwezi kukuta wanafunzi wako idle hata siku moja. Ni maisha yakumfundisha mtu jinsi ya kuishi na watu na jinsi ya kujitegemea.

Kwa kweli kama shule zote zingekuwa na mfumo wa Kiseminari tungekuwa mbali sana.
 
s2277 busi secondary school


div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 0 div-iv = 10 fld = 82

And then mtu anakuja anatamba enrollments zimeongezeka, huku production ya failures ni kubwa kuliko.
 
Because they keep GOD first,working up at 5.00am to attend morning prayers it helps a lot.
 
i think they choose the best tu na mchujo ni mkali, ila kwenye suala zima la time management wanajitaidi!
 
mimi nimeinjoy maisha ya boarding swhule ya serikali ashukuriwe nyerere na Idea yake ya kuchanganya kwani nilikutana na makabila karibui yote nchi hiikwewnye wing yetu tulikuwa watu 24 ambao lkila mmoja alitokea mkoa tofauti na kila term tunahamishwa wing

Thanks JKN kwa kunifunza uzalendo huu wakuishi na kila mtu Tz hii
 

Kuna shule za seminari ndogo (zinazotoa elimu ya sekondari) na kuna seminari kuu (zinazotoa elimu ya chuo kikuu). Mtoa post anazungumzia 'seminari ndogo' na siyo sekondari zinazoendeshwa na baadhi ya mashirika ya dini kama vile Marian Secondary School (Kanisa Katoliki). Marian Secondary School siyo 'seminari ndogo'. Wanafunzi wanaosoma 'seminari ndogo' ni wale wanaofikiria kwa baadaye kuwa mapadri au watawa (Wakatoliki tu).

Wanaosoma sekondari za mission ni wote wanaotaka kupata elimu ya sekondari kupitia chini ya mashirika ya dini. Kwa level ya chuo kikuu - kuna pia 'major seminaries' kama Kibosho Major Seminary, Ntungamo Major Seminary, Kipalapala Major Seminary etc (Wakatoliki tu), lakini pia kuna vyuo vikuu ambavyo siyo 'seminari kuu' lakini vinaendeshwa na mashirika ya dini kama ilivyo kwa St Augustine, Catholic University of Eastern Africa (CUEA) (kwa upande wa Kanisa Katoliki) ambacho kipo Kenya etc.

Vyuo vikuu hivi vinapokea mtu yeyote (kutoka dhehebu lolote la dini) anayetaka kupata elimu ya chuo kikuu kwa mfumo wa dhehebu la dini, lakini siyo seminari kuu ambayo wanafunzi wake ni wale wanaosomea wito wa upadri au utawa. Seminari kuu zinafundisha falsafa, teolojia na malezi ya kiroho + psychology na hata hivi vimegawanyika mara mbili: (1) masomo ya falsafa (i) a history of philosophy (ii) systematic philosophy miaka 3 na (2) masomo ya teolojia miaka 3 au 4.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…