Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 10,651
- 22,817
Ukikuatana na binti ambaye anaamini katika kupambania ndoto zake mwenyewe bila kushirikiana au kuwa na mume then tikisa kichwa kwa masikitiko halafu toa msonyo wa “hewala” na uendelee na shughuli zako.
Mabinti wengi (umri wa 16 hadi 26) huwa na mitazamo ya kufikirika sana isiyo na uhalisia kuhusu maisha.
Wanaweka matarajio makubwa,au kutaka matokeo makubwa kwa vitu ambavyo kiuhalisia ili uvipate itakulazimu ufanye kazi kwa bidi sana usiku na mchana. Na usiishie tu kwa bidii, inabidi hiyo biashara iwe inalipa vema.
Ukweli huwa hausemwi kwa hawa mabinti walio katika umri huu wa kuota ndoto za mchana. Kundi lililowazunguka ni la watu wasiowatakia mema siku za baadae. Mimi hapa najitolea kuwapa muangaza kisha ninyi mtachagua kunyoa ama kusuka.
Jipe muda kutafakari. Kwanini enzi na enzi kumekuwa na taasisi ya ndoa. Hata wanyama viumbe ambao tumewazidi utashi waiheshimu ndoa na kuitumikia halafu kuna wewe unasema mimi sina shida ya mwanaume wala sitaki mwanaume nitapambana mwenyewe.
Msichana wa wastani huwa anawaza kumiliki vitu vya thamani sana ambavyo katika akili yake mbichi ya usichana anahisi tu kwamba atavipata hata iwaje. Balaa ni anapokutana na uhalisia wa maisha na ukamjuza ukweli wa mambo inakuwa ni too late kurekebisha makosa yake.
Kutokuheshimu na kutotambua ndoa kama taasisi muhimu ya kiroho,kiimani, kiserikali, kijamii, kidini, na kimaisha kumewagharimu wanawake wengi sana na muda wa kulipia hesabu ukishafika wengi wao huadhibiwa kwa haki na kwa kipimo sawia na dharau walizoonyesha kipindi cha kukosa adabu na maisha.
Nitakupa mfano hai. Leo hii kuna binti anawaza kumiliki simu kama iphone 16 pro max (3.5 milion), apate gari ya kutembelea kama crown, vanguard, harrier hybrid, evogue etc (tuweke 45+ million kwenye gari), anataka kuishi nyumba nzuri (tuweke kodi ya wastani ni laki 500), anapenda kula chakula kizuri,tumuwekee milo yote mitatu kwa siku ni laki na ishirini,
Tufanye kila mwezi anamtumia wazazi kiasi cha pesa za kujikimu, michango ya harusi/misiba na dharula mbali mbali,kuwatoa madogo na ndugu hapo tuweke wastani wa 500K kwa mwezi, anatarajia ujenzi wa nyumba ambayo hataki kujenga na mwanaume anataka ajenge kwa jasho lake, wengi wanatamani zile nyumba za kuanzia milioni 300 ila tuweke ya wastani ya milioni 100 tu kwa leo sababu ni mfano, naomba nisiendelee zaidi maana list yao huwa ni ndefu sana.
Kumbuka haya yote yanatakiwa kukamilika katika prime years yaani (16 hadi 26) baada ya hapo mwanamke kwa wastani ataanza kuexperience decline ya sapoti kutoka kwa wanaume na kutakiwa kusecure commitment na mwanaume m'moja tu wa maisha, ndio maana wakifika kuanzia 30 wanaanza kufosi ndoa kwa nguvu maana wameshajua kifuatacho ni nini.
Tufanye hesabu ili kuona uhalisia wa mipango ya mabinti na uhalisia wa maisha unasemaje. Tutumie mfano wa hapo juu sasa tuone imekaaje, na tumpe kutoka 16 hadi 30 yaani miaka 14 ya kupambana.:
1. Nyumba 100,000,000
2. Gari 45,000,000
3. Kodi (miaka 14) 84,000,000 @ 500,000 kwa mwezi.
4. Iphone 3,500,000
5. Chakula (miaka 14) 604,800,000 @ 120,000 kwa siku.
6. Wazazi,madogo,ndugu,michango mbali mbali (miaka 14) 84,000,000 @ 500,000 kwa mwezi.
7. Vipodozi,saloon,mavazi,mitoko (miaka14) 134,000,000 @800,000 kwa mwezi.
Jumla hadi hapo ni 1,055,300,000/= yaanj Bilioni moja na chenji.
Miaka 14 ni sawa na siku 5110. Ukigawanya 1,055,300,000/= inakuwa ni sawa na kama 206,517/= hivi kwa siku. Hii ina maanisha mtoto wa kike kwa pekee yako bila msaada wa mwanaume unatakiwa kutengeneza laki mbili kila siku ili kuweza kuishi hayo maisha unayotamania by the time ukifika miaka 30.
Sasa hebu nisaidie,inawezekana vipi hii kuwa kweli bila kuliwa na wanaume zaidi ya 100,bila kuwa mdangaji,bila kuwa malaya na kumbuka hapa nimefanya rough estimate.
Umeona yule dada aliyesema kajenga jengo la zaidi ya billon 5 yule.,yaani nyumba tu ni billion 5,hapa mimi nimepigia kila kitu ni billion 1, yule mwenzetu nyumba tu ni billion 5 hatujaja vitu vingine si maisha yake yatakuwa ni bilioni 100 😂😂😂.
Anyways,endeleeni kupambania ndoto,zenu mkiwa single bila wanaume yaani independent women,a.k.a wanawake wa shoka.
Good luck.