Why are jews so smart?

Umelishwa kitabu cha waandish wa kiyahud na ubongo wako umeoshwa vya kutosha, toka kwenye hilo boksi. Umesema dunia haiwezi kuwashinda? Hitler alitaka futilia mbali wayahudi wote, sasa unasemaje eti Dunia haiwawezi?!
Nadhani ulizaliwa wakati wazazi wanagombana ndo maana unatafsiri mambo kwa jazba,
Mema ama mazuri ya MTU huishi hata akifa,
Hitler Hitler mbona unajikosoa sasa,
Alitaka aliwafuta?
Ishu ni kujifunza kutoka mazuri ya wengine siyo kuendekeza chuki pandikizwa,
Acheni kuvaa na jeanz maana Levis ni zao bakieni na mapajama na vipensi vyenu,
Hata simu na computer ziacheni mbaki na lamri zenu,
Halafu muache kukimbilia ulaya mbaki jangwani kwenu ndo tutawaona wanaume kweli
Narudia ambacho haukukielewa,
Hata dunia nzima iungane kupinga zuri walilo nalo watu Fulani haiondoi zuri hilo walilo nalo,cha msingi tuige mazuri,
Labda niongezee na hili hata dunia nzima iungane kusema wavaa vipensi ni wema sana haiwaondolei ushetani wao wa kuchinja chinja watu
 
1-Algebra
Muhammad ibn Musa al-Khwarazmi ndiye mgunduzi na mathematician wa ki persia alizaliwa mwaka 750 akafa mwaka 850 AD,huyu alikuwa mwanahisabati,jiografia na astronomy,huyu anaitwa baba wa algebra,kama ulifanikiwa kuchukua science hasa pure math advanced level utajua kwamba 95% ni algebra tupu,kuanzia Integration and differenciation,Complex number,n.k vile vile kwenye physics yote ni algebra tupu,Hata hao akina Einstein walitumia Algebra.Ugunduzi muhimu sana huu katika ulimwengu wa science na teknolojia.

HAPO JUU UMENIKUMBUSHA SEHEMU YA MCHANGO WA UGUNDUZI TOKA ASIA, PIA
Kwa wale Mathematicians tunatambua mchango wa huyu great Mathematician mwenzetu from Asia Muhammad ibn Musa al-Khwarazmi, kwa kiwango kikubwa alisaidia kuweka algorithms nyingi pamoja na kutuletea zero (0), maana zero sio namba ya asili bali iligunduliwa na huyu mwamba na kabla yake kulikuwa na number 1, 2, ... 9 ambazo according to Chronicle alituambia zilitoka kwa MUNGU. Hapa tulikuwa na namba mfano 999,999999, 54729629, 2671688, 99273 n.k ila baada ya hapo nini kinaendelea hakuna aliyejua hilo. Naomba kuweka wazi kuwa mimi ni muumini wa baadhi ya matendo ya US na ISRAEL ila gunduzi nyingi ambazo hazijatoka Ulaya au USA na washirika wake hazipewi promo kama za watu wao na hapo ndo walipotushikia akili, yote katika yote WAISRAEL wameitendea haki dunia kwa kuchangia mawazo mengi na kuamua kwa kiwango kikubwa Hatma ya muenendo wa binadamu kwa vile nyenzo kuu za uchumi, sayansi na tekinolojia iliyopo kwa sasa wameshiriki pakubwa.
 
Huyu jamaa ni mwarabu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inhekuwa kula sana samaki basi kwa apa kwetu watu wa Mwanza wangekuwa magenius wa kuzaliwa.. Nikiangalia filamu ya DARWIN NIGHTMARE uwa natokwa na machozi jinsi gani wa mwanza walivyokuwa mazombi miaka ile. Sizan kama ulaji wa samaki unamsaada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaongelea Ashkenazi Jews amabo ethnically ni wazungu. Wazungu wana high average IQ compared to other races
Taarifa za utafiti huu zingetolewa na waafrica ningekubali,ila tatizo zimetolewa na wenyewe kwan n nani anaweza kujiteketeza?
Yan uniambie embu tuambie ujinga wako halafu niseme mm nina ujinga kwa kiasi hiiiikiiiiii........thubutu
 
Is this story a testimony of the Jews' smartness or simply a supposition (hypothesis) of facts which needs further scientific investigation (empirical evidence)?
Msiokote tu vitu huko kwenye mitandao nakuileta JF, MODS MKO WAPI MTOE HIZI TAKA TAKA
Utaitwa mkereketwa wa waarabu wewee ohooo shauri yako unabisha utukufu wa vimungu vidogo vidogo?
 
Sijui kama atakuelewa. Nilikuwa natafuta namna ya kuelezea hili nikashindwa ila hongera sana umefafanua vizuri na kwa kifupi
 
Qur 44:32... inakujibu

Na bila ya shaka tuliwaokoa Wana wa Israili katika adhabu ya kuwadhalilisha,

مِن فِرْعَوْنَ ۚ إِنَّهُ كَانَ عَالِيًا مِّنَ الْمُسْرِفِينَ

Ya Firauni. Hakika yeye alikuwa jeuri katika wenye kupindukia mipaka.

وَلَقَدِ اخْتَرْنَاهُمْ عَلَىٰ عِلْمٍ عَلَى الْعَالَمِينَ

Na tuliwakhiari kwa ujuzi wetu kuliko walimwengu wenginewe.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waafrica sisi ni takataka uwezi kitucompare na wazungu halafu nani kakwambia misri walikuwa weusi?!

Sent from my TECNO-J5 using Tapatalk
 
Wacha kutudanganya ww mbona saud arabia wana pesa na hawana hiyo teknolojia??!

Sent from my TECNO-J5 using Tapatalk
 
Sasa mbona unawataja waarabu wa persia hujioni kuwa ww ni kenge?!

Sent from my TECNO-J5 using Tapatalk
 
I loved it

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha kutudanganya ww mbona saud arabia wana pesa na hawana hiyo teknolojia??!

Sent from my TECNO-J5 using Tapatalk
Wananunua teknolojia.Je Africa mna uwezo wa kununua teknolojia?
Saudi Arabia mpaka US wamemwekea Patriots na ndege vita za kisasa, bongo hapa tuna ndege vita mchina, nambie why?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…