Why are jews so smart?

Sina hakika akina Isaac newton nao pia ni jews au mleta mada tunaomba utuletee walao innovation ambayo imefanywa na hao wayahudi?
Ninachoamini mimi ukiniuliza Isaac Newton ana akili sana nitajibu hapana,ila ni mdadisi zaidi kuna hizi tabia 2 udadisi na akili japo mdadisi inafaa akili yake iwe sawa,kuna watoto taarifa za hiii miaka wanazaliwa na ku solve complicated math eqn at the age of 3 yrs,kitu amabcho Isaac Newton hakufanya.
 
Mkuu mimi nilichouliza sio isaac newton anaakili au la! Hapana nachouliza mimi ni innvovation gani ilishafanywa na wayahudi?
 
Sasa wewe mkuu unabishana na mtu anajiita mchichapori huoni unapoteza nguvu zako. Ifike mahali tukubali tu ukweli.
 
Jamaa yuko vizuri tu.

Cha muhimu jibuni hoja zake.
Uvivu tu wa kuandika kupitia simu. Sipo na access ya laptop, ningemjibu hoja moja baada ya nyingine; hata hivyo, unapojadili haya mambo unapaswa kujadili ukiwa na free mindset. Usijadili kama black supremacist wala pro-white supremacy; kitu hiki ndo wengi wanaangukia humo ktk kujadili. Nadhani umenipata mkuu.
 
Nakupata.

Pamoja sana.
 
Wako smart and well organised
 
Kabisa mkuu
Tuna mengi ya kujivunia km mauaji ya albino na kutoachia madalaka
 
Jamaa anajua kipimo cha kujua music ni kunyoa viduku,kucheza kiduku,kuvaa mlege,kukatika nk
Huyu atakuwa na asili ya indonesia
 
Hata dunia nzima tuungane kuwapinga haiondoi walicho nacho na wanachokijua,la msingi tuige mazuri yao mkuu
 
hapa ndio pana kila kitu
 
Hata dunia nzima tuungane kuwapinga haiondoi walicho nacho na wanachokijua,la msingi tuige mazuri yao mkuu
Umelishwa kitabu cha waandish wa kiyahud na ubongo wako umeoshwa vya kutosha, toka kwenye hilo boksi. Umesema dunia haiwezi kuwashinda? Hitler alitaka futilia mbali wayahudi wote, sasa unasemaje eti Dunia haiwawezi?!
 
Kabisa mkuu
Tuna mengi ya kujivunia km mauaji ya albino na kutoachia madalaka
US nao wana mengi ya kujivunia kama kuua watu ambao hawana hatia Afrika na middle East na kuutambua ushoga,shoga anaweza kuwa raisi wa us Obama alishazungumza hii kitu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…