mathematics
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 3,324
- 1,116
True say!!!!True say!!!!Obama before became the president, jews called him names and saw him as blackman incapable to be the president of United States. What happened after he won the election, jews dig him and came with claim Obama's mother was jews so he is jews too!
Those are Jews! Before you become some one you are not jews, after you become someone they come out with false chronology about people and say you are Jews!
Hizo habari hata akina Christoph Meiners na Johann Friedrich Blumenbach (waliokuwa wanafanya huu utafiti) walikuwa wana bwa bwaja tu kama Charles kwenye evolution of man na ukisoma ni upuuzi mtupu,eti Caucasian ndio ilikuwa race ya kwanza duniani,hivi black ndio inatoa white au white inatoa black?Acha kukataa vitu ambavyo ni wazi. Race gani inaongoza kwenye Science and Technology? Huyo China unayemsifia kila siku anaiba technology kutoka Western world na Russia ambao wote ni wazungu
Hiyo simu unayotumia imetengenezwa na mzungu. Hilo gari unalotembelea limetengenzwa na mzungu. Hizo nguo unazovaa zimetengenzwa na mzungu.
Unanipa mifano ya waafrika walioendelea katika sanaa na michezo ? Tangu lini dunia ilibadilishwa na sanaa na michezo? Boss, dunia inabadilishwa na Science and Technology .
Boss, wazungu wanaitwa Caucasians. Maana yake ni kuwa asili yao ni milima ya Caucas amabyo ipo Southern Russia karibia na nchi ya Georgia. Scottish people ni jamii moja wapo ya wazungu Anglo Saxons
Hizo habari hata akina Christoph Meiners na Johann Friedrich Blumenbach (waliokuwa wanafanya huu utafiti) walikuwa wana bwa bwaja tu kama Charles kwenye evolution of man na ukisoma ni upuuzi mtupu,eti Caucasian ndio ilikuwa race ya kwanza duniani,hivi black ndio inatoa white au white inatoa black?
Michael Jackson si black yule?
Ila kuna mzungu alibadilika kuwa mweusi?
Hawa watafiti wenyewe re search zao za kipuuzi tu,eti caucasian wengine ni dark in skin sababu ya jua.
We unazungumza kitu gani?Ukiacha sports ambapo inaonyesha waafrika ni jinsi gani tulivyo strong muziki nakupa sasa kama ulikuwa hufahamu kwamba ina define IQ ya mtu ndio maana mleta uzi ukisoma alipoelezea jews na quote mstari
It goes without denial that Jews are ahead in all aspects of life such as engineering, music, science and most obvly in business.
Inabidi nizidi kukushangaa shooting and running ni sports hizo,hapo tunawapata watu kama akina Tiger Woods,Serena yule mama anayecheza Tenis n.k Mkuu dont you see?
Michezo kwa taarifa yako ina define IQ ya mtu na ni kitu kizuri sana kuwahimiza watoto,japo waafrika tunazaliwa na hivyo vipawa na kupuuzia kama wewe, na unawaza tu science and tech,utafanyaje science hali ya kuwa akili imedumaa?
usipuuze.
Science utaifanya ukiwa kapuku?
Unajua budget ya kurusha rocket?
Unajua NASA budget wanayoitumia?
Huwezi fanya science kama uchumi mbovu,Nchi za Amerika na Ulaya huko kote wameiba sana mali zetu mpaka leo wanaiba nakufanikisha majaribio ya science and tech.
Wale ni wavamizi na ndicho wanachofanya sasa middle east,kuchukua kitu cha mtu kwa nguvu,wanajikusanya wengi,US,UK,FRANCE,GERMAN n.k.
Msome mtu anaitwa Malcolm X,soma kwa nini aliacha shule na kuwa mkorofi mtaani,baadae akawa mtu ambaye hatosahaulika katika historia,itakueleza kwa nini Africans na akili nyingi tulizo nazo,vipaji n.k kwa nini tunakuwa nyuma naquote mstari toka kwenye biography yake.
Nitajie mwanamuziki superstar myahudi
Acha ubwege kukopy habar yote...ni ujuha huoKuna kitabu kinachoelezea?
Kama kipo kitajwe tafadhari
Yaani unazungumzia 18th century? Jana tu hiyo,teh teh teh,Ushawah kuwaskia Wolfgang Mozart na Ludwig Beethoven? Hao wote waliishi 18th Century. Niambie msanii gani equivalent wa kiafrika wa muda huo alitengenzea mziki quality ya hao jamaa niliowataja? Ukweli mchungu kipindi hicho waafrika tulikuwa porini tunacheza ngoma ambacho ni kifaa ambacho akihitaji akili nyingi
The government of Iran announced that the aircraft was brought down by its cyber warfare unit stationed near Kashmar[4][5][6][7] and "brought down with minimum damage"[8] They said the aircraft was detected in Iranian airspace 225 kilometers (140 mi) from the border with Afghanistan
Hbari kamili soma Iran–U.S. RQ-170 incident - Wikipedia
Bado teknolojia yao ni ndogo?
US aliongea upuuzi mtupu na kwa aibu wakaombwa kuandika barua ya kuomba msamaha ila wakakataa,Kama kawaida yao uongo kama silaha yao wakadai ile ni public technology.
Science na teknolojia ni pesa,huwezi kuwa na uchumi mbovu ukawa na science na teknolojia kubwa,unajua Japan iliyumba ki uchumi baada ya ujenzi ule wa reli ya usumaku?
aisee nime choka kuandika,tchao.
Henric iglesias, Sean Paul, drizzy drake,Watu mazoba kweli, unataka wanamuziki mashuhuri wa kiyaudi ili iweje? Kuwa na wanamuziki ndiko kunafanya watu/jamii kuwa mashuhuri au vipi? Mbona wamarekani weusi si mashuhuri kihivyo duniani na ndiyo jamii inayodharaulika zaidi kuliko jamii zote Marekani tofauti kabisa na ujuavyo wewe na watanzania wengine. Kwa kukusaidia tu, wafuatao ndio mastaa wa kiyaudi...huenda usiwajuwe kwa kujifanya Mmarekani mweusi:
Pink, Billy Joel, Neil Diamond, David Lee Roth, Gene Simmons, Adam Levine, na Barbara Streisand.....wako wengi tu ila sioni sababu ya kuwahusisha wao humu maana sioni umuhimu wao kwenye hii mada.
Hapana usini quote vibaya sijawachukia jews,ila hapa tunawekana sawa tu kuhusu ukweli wa mambo ulivyo.Very Ironic, hyo Drone Technology imegunduliwa na Wa Israeli amabo ni jews unaowachukia.
Na kwa taarifa yako, hyo electronic warfare capability Iran waliitoa kwa Russia kama mshirika wa kistratejia. Na pia inawezekana uelewa, mi naongelea technological inventions na new patents. Sio kuichukua technology na kuikopi
Nitajie nchi amabyo si ya kizungu imegundua technolojia katika karne hii mpya? Nitajie hata moja
Hao US unaowaita upuuzi mtupu wameweza kupeleka missions za binadamu 6 mwezini. Hao "wapuuzi" US ndo wamegundua GPS amabyo unaitumia kwenye simu yako. Niambie kitu amabcho Iran amekigundua unachotumia wewe?
Sasa unaniambia saudia inanihusu nini?Bro, nshakupa mfano Saudi Arabia ina GDP kubwa kuliko Ireland ila Saudia ipo nyuma mnooo kiteknolojia.North Korea wanakula nyasi ila wameweza kutengeneza Nuclear Weapons na Intercontinental Ballistic Missiles
Ishu sio pesa, ishu ni culture of innovation and creativity. Kama huna hiyo tamaduni hata uwe na hela vipi huwezi kuendelea kiteknolojia.
Naona wale wa mrengo wa kushoto wananvyomshambulia mleta mada. Tuna laana sana sisi. yaani kwenye hilo andiko mtu ameshindwa kabisa kupata hata kitu cha kuchukua kwa faida yake na watu watu wake? Hivi nayo ni uwongo kuwa lishe nzuri wakati wa uajauzito ina mchango mkubwa sana kwa ukuaji wa ubongo wa mtoto? sasa kama sisi kuhu kwetu mama akishika mimba anashindia viazi na maji wewe unategemea mtoto anayezaliwa nakuaje kama siyo anakuwa bongee la kiazi.
Kuna kipindi ngoyai alienda ukelewe na kuuliza mbona wanapenda sana ngono! Alijibiwa kwa ajili ya kula samaki kwa wingiHahahaa wala samaki mbona wengi sana kwetu?
Labda utajiri wa ng'ombe