Why are Jews so powerful?

Status
Not open for further replies.
It's a great worldly achievement,fame but just brought more chaos to the humanity.

Discovery of nuclear weapon:
>>>It's used as the Weapon of Mass Destruction.
>>>It's a time bomb whose remote control is a human error which is impossible to avoid
Recently,nyambizi ya France na Uk zilizobeba nuclear arsenals zili collide,the fate of entire humanity was at stake.
>>>Neither politicians of the world powers nor their Intelligence Agents are having peace of mind and good sleep thinking of how to manage the spread of the nuclear weapons....spending alot of money,time,lives etc.

Discoveries at the cost of human lives:
>>>In the era of Trans Atlantic slavery trade,some of the slaves were used in the discoveries in the field of medicine.Nazi used Jews in the same way.
>>>Recently,Israelis were accused of taking organs from Palestinians for scientific purposes.
>>>HIV is the laboratory virus spread to human beings, now a world disaster.
>>>Pfizer killed a good number of children with polio in Nigeria in the attempt to test their drugs
>>>Stem cell research means embryos have got no right to survive
>>>To mention a few.

*Weapons are tested by killing innocent people.
*Financial success is achieved by creating war>>>killing others,creating instability under the hypocrisy of Democracy.
*Worldly desires drive us to care nothing even the very life of human being.

It has been shown clear that: Development means Environmental destruction>>>>destruction of humanity.

Ukitafakari kwa makini utaona ugunduzi kwa kiasi kikubwa umetuletea matatizo mengi kuliko faida kutokana na consequences zake.
Badala ya kuwa solution,imekuwa ni chanzo cha matatizo,no peace of mind,no morality,just chaos after chaos.

Mfano mdogo:Tumeanzishwa HIV,sasa tunapata taabu kutafutia suluhisho,tumegundua nuclear sasa hivi inatupa karaha ya maisha,which means most of these discoveries were un necessary.

Islam puts humanity first,it provides the solution to humanity and not chaos to humanity,that's why if u have islam in ur heart means u have inner peace of mind.Hairuhusu kuhatarisha maisha ya watu eti kwa sababu ya ugunduzi,tunakiwa strive the best to enjoy this life peacefully na kuandaa the next eternal life,that's why we have limits in our actions.

Quran yasema: (2:11. And when it is said to them: "Do not make mischief on the earth,'' they say: "We are only peacemakers.'')
(2:12. Verily, they are the ones who make mischief, but they perceive not.)

U gotta know the purpose of life.

Islam doesn't prohibit scientific advancements and achievements,but rather encourages it to be done within limits put by The ALMIGHTY,KNOWER and WELL_CONTENTED with everything
 
An excellent and knowledge-rich analysis. Big up to mleta mada.
Tuliambiwa yakuwa Wazungu ndio watu wenye akili na uwezo mkubwa (Wakoloni) waliopingana nao walionekana watu wa ajabu (wapigania Uhuru)............... kama unakubaliana na hoja hiyo, vipi kuhusu.......Galileo, Da vinci, Socrates, Ali bin Jabri (aljebra) Alexander the Great, Genghis Khan,......................(wao sio wayahudi) walioelimika katikati ya wajinga!
 
...Well said ! ni vizuri tukawaeleza hawa wenzetu kwa Ushahidi, hizo aya ulizotoa zina authority ya kujustify hiyo hoja. kuongezea........... hukumu ya Uislam kwa mtu anaetengeneza Nuclear kwa ajili ya kuteketeza Ulimwengu(watu na vitu) ni "kuuliwa" na si kusifiwa na kupewa NOBEL PEACE PRIZE! habari ndio hiyo.
 
..... QADHI amekujibu vizuri, habari ndio hiyo!
Nina maswali machache hapa chini,
1. Kama Uislam na Waislam kwa ujumla wake ni "Powerless" inakuwaje watu wa magharibi wanahangaika kupeleka majeshi usiku na mchana? tena majangwani! je unyonge wao ndio gharama ya maisha kwao watu wa Magharibi?
2. Mbona Iran inazuiwa kumiliki Nuclear? au kwakuwa ni wajinga?
3. Hawana Elimu na hawapendi kuendeleza wanawake!........... hilo kwanini liwakoseshe usingizi wao? si waachwe waendeleze ujinga! ni huruma tu?
4. Propaganda za kila siku dhidi ya Uislam na waislam zina maana gani kwa watu un educated, powerless, useless? what this all about?
 
.........QADHI amekujibu kiufundi na nampa BIG UP!
Nina cangamoto ya maswali kwako na ningpenda uyajibu,
1. Ikiwa ni kweli Waislam na Uislam hawana nguvu, "POWERLESS" nguvu nyingi za majeshi na uvamizi kwenye nchi zao unaogharimi maisha ya wavamizi na raia wasio na hatia ni wanini!? ni kwanini mnyonge akugharimu maisha yako na resources zako?
2. Ikiwa Waislam na Uislam ni wajinga!.....................kwanini Dunia ya watu wamagharibi wahangaike usiku na mchana kwa propaganda za gharama kubwa dunia nzima kwa ajili ya wajinga!? mjinga unaachana nae tu, wao mbona sio hivyo!?
3. Hawaelimishi wanawake wala kuwaendeleza...................... hilo linanwakosesha raha na usingizi wao wakati wanaendeleza kizazi chao cha kijinga, why are they so concern?
 
nipachike cheo chochote unachotaka ila kwa taarifa yako huyo unayemtetea wewe ndiye aliye-muster mind na kunufaika na epa. Kwa mwenye uamuzi wa kuona sasa anaweza kuona.

Mkuu,
hakuna ninayemtetea. soma post yangu vizuri. Mimi najuwa Viongozi wetu wote wamefanya na wanafanya madudu. Lakini wewe ,unaposema Ben hahusiki, hapo sikufahamu. He was the President when the whole fisadi happened.
 
Mkuu aliyeleta mada kwanza ametumia nafsi 'sisi' kuonyesha kuwa na yeye ni muislamu!!! Nadhani hakuwa na haja ya kufanya ulinganisho wa wa wakristo na wahahudi si kwasababu eti wayahudi na wakristo ni wamoja, la hasha! Ila anajaribu kutoa mchanganuo (with statistical evidence) kati ya jamii ya watu wenye mafanikio makubwa zaidi duniani na jamii ya watu wa imani yake (islam), huku akiweka kwa ustadi mkubwa sana sababu zilizosababisha tofauti hiyo kubwa!!!

Binafsi mimi nimezaliwa na wazazi wa imani mbili tofauti(Baba muislam na mama mkristo). Frankly speaking, kuna tofauti kubwa kati ya ndugu zangu wa upande wa mama na ule wa baba juu ya mwamko wa kutafuta maarifa na ufahamu...wale wa upande wa mama yangu wako mbali ajabu kulinganisha na wale wa upande wa baba yangu.
 

Bucho kilaza ni wewe ambaye hata kuweka nguvu ya hoja unashindwa. Sidhani hata kama umesoma vitabu vinavyohusiana na nguvu za Israel katika dunia wewe unakuwa spoon fed with information halafu unakuja kufanya arguments zisizo na msingi hapa.

Mimi sijagusia suala la ukristo kwamba ile ni nchi teule au la, hilo nalijua tena kuliko wewe unaejinasibu ukristo.

I do not want to argue with you because people might not notice the difference!!!!!
 

Kama ni Elimu, kustarabika na kujua mambo na kigezo cha ulinganisho kikawa ni jamii, unawalinganishaje wajapan na wayahudi!? ni nani ana maisha bora na anafaa kuigwa!? walisomeshwa na nani ? wayahudi? wao ni Dini gani?
Hoja yako ya upande mmoja wa jamaa zako kufanikiwa na upande mwingine kuwa hoi, je umewahi kujiuliza kawa huo upande wa mzee wako wamepata fursa?
Elimu hii ya DUNIA sie Waislam haitufai, tunaisoma ili tusurvive tu! ni Elimu iliyo na uongo na kumpinga mwenyezi Mungu!
Kwa mfano wanasayansi wanasemaje kuhusu kuumbwa kwa Dunia? Wanasemaje kuhusu mwisho wa Dunia?
Ukitaka kuelewa umuhimu wa ELIMU na Mwenye ELIMU na manufaa yake kwa WALIMWENGU, tafadhali rudia comments za QADHI hapo juu!
sie WAISLAM ukigundua na kutengeneza NUCLEAR na tukakuuliza nia yako na madhumuni ni nini? tunakukata kichwa tu, badala ya PEACE NOBEL PRIZE
 
hata mimi ninaona kuna umhimu wa kuwaomba waanzishe ubalozi wao kwetu kwani tunakosa baraka kede wa kede kutoka kwao, kama ubalozi wa palestina upo kwa nini wa Taifa teule la Mungu usiwepo? hamuoni kuwa ni sisi wenyewe kama taifa tunaojifanya kujitenga na Taifa teule. pia sijui kwa nini na ni sabbau gani zilizofanya kukosekana kwa Israel Embassy in Tanzania, nchi nyingine kama China wana balozi kama tatu za Israel( beijing, Shanghai na Guangzhou)...tuwe macho watanzania kwa sababu kuna mengi tunayoyakosa na tutaendelea kuyakosa kwa kulikana hili Taifa, kazi kwenu..
kwanza tunataka kuwe na ubalozi wa israel hapa tz. hii ni kitu cha muhimu saaaaana . embu watu wote wenye mapenzi na israel tuanzeni hii kampeni kwa pamoja. mungu ibariki israel.
 
Mkuu Kombo nakubali kuwa si kila maarifa ni ya kutafuta!!! Yapo mengine ambayo inabidi tuyatazame tu! Ila napenda kutoa angalizo katika mambo yafuatayo:
1)Bwana Qadhi kashindwa kutofautisha ugunduzi wenye manufaa kwa binadamu na ule wa kishetani. Hoja yake imebase zaidi kwenye ugunduzi wenye madhara kwa binadamu bila kutazama kwa mapana mambo ya kisayannsi yenye manufaa kwa binadamu

2)Katika maisha ya sasa science and technology is the main driver of change in any society na hata tukiangalia takwimu utaona kwamba mataifa yenye nguvu za kiuchumi yamewekeza katika science na technology( USA, Japan, German etc). Hata nchi masikini duniani umaskini wao unachangiwa na ukosefu wa technology. Mfano hapa Tanzania tuna madini mengi ila technology ya kuyachimba hatuna!!! Hebu fikiria kama tungekuwa na technology ya kutosha... sidhani hata hizi kelele za mikataba ya kifisadi zingesikika!!! Angalia nchi za kiarabu zina mafuta mengi ila technology ya kuyachimba ni ya wazungu....mwanya huo umetumiwa na wazungu kuwagawa waarabu, sasa waarabu wanaonekana kama hohehahe tu duniani-hawana umoja kabisa!!!

3)Waislam ni watu wa kulalamika daima kwamba wanaonewa. Lakini ukiangalia vizuri chanzo ni ukosefu wa maarifa. Chukulia mfano China. China ilipambana kijeshi dhidi ya Marekani indirectly kama mara hivi, mara ya kwanza ni katika vita vya Korea (1950 - 1953) yenyewe ikiwa upande wa Korea kaskazini. Mara ya pili ni katika vita vya Vietnam vs USA, yenyewe ikiwa upande wa Vietnam. Ukisoma vitabu vya historia utagundua kuwa ni katika vita hivyo viwili ndipo ilipogundua umuhimu wa kuwa na nguvu za kijeshi. Mwaka 1962 China ikawa world's fifth nuclear nation. Soon thereafter, China ikaanza kuratibu sera za kukuza uchumi wake. Ilijaribu kwa kutumia ujamaa ikashindwa. Ikaona bora ichanganye ujamaa na ubepari (nguvu ya soko huria), ndipo ilipoanza kufanikiwa. By now, Second largest export economy after USA. Hii ni baada ya kuwekeza sana katika technology. Sasa hivi Marekani haithubutu kuikoromea China kijingajinga...inaiogopa...na hata wachumi wa Kimarekani wameshatabiri kuwa kama hali itaendelea hivi, basi very soon China itakuwa world's superpower. Sasa angalia nchi za kiarabu zimefanya jitihada gani za kitechnology kujikwamua kutoka hapo zilipo zaidi ya kuringia utajiri wa mafuta ambayo siku moja yataisha? Ukizingatia kwamba nchi hizi zipo ukanda wa majangwa wa dunia, bado hakuna mbinu mbadala za kukuza GDP achilia mbali mafuta. At least Qatar and UAE are exception... wao naona wanajitahidi kubuni njia mbadala za kukuza uchumi!!

4)Sasa tujadili ugunduzi wenye madhara kwa binadamu. Tuchukulie mfano ZANA ZA NYUKLIA ambazo karibu nchi zote zilizoendelea zinazo(either kama silaha au kama chanzo cha nishati). Iran ni nchi ya kiislam unadhani kwanini bado inaendelea na mpango wake wa kurutubisha Uranium licha ya makelele kibao kutoka Marekani!!! Sababu zipo nyingi, ya msingi ni kwamba katika vita kinachotakiwa ni ushindi na katika hali ya kawaida unapopigana na taifa lenye nguvu za nyuklia kulishinda ni ndoto. Chukulia mfano wakati wa vita kuu ya pili ya dunia...Japan iliizibiti Marekani kwa kila hali ndipo mwishoni Marekani akaamua kutumia zana za atomic (jamii moja na zana za nyuklia) ndipo hatimaye Japan ika-surender. Na ndio maana IRAN haiko tayari kuona hakuna nchi hata moja ya Kiarabu iliyo na nguvu za nyuklia huku mahasimu wao wakuu MAREKANI na ISRAEL wakiwa na shehena kubwa ya silaha hizo. Hebu fikiria sasa hivi patokee vita kati ya ISRAEL na nchi za KIARABU(Islamic states)...upande mmoja una nuclear upande mmoja hauna na vita vinakuwa persistent....nani mwenye uwezekano wa kushinda!!!
 

Mungu alikuwa wapi wakati watu wake "Teule" wanateketezwa na Hitler? iweje watu wateule wa Mungu wakataliwe na ka nchi kadogo kama Tanzania? Mungu mbona kawanyima Serengeti, Ngorongoro na Mlima Kilimanjaro? mbona huyo Mungu kawapa watu wake kashamba ka kugombania na Wapelestina? mbona Taifa teule kutwa kucha, Vijana wao wanashinda na bunduki migongoni badala ya kuimba "Bongo Flavor" ? ujana wote unaishia kuuwa watu na kukimbizana mitaani!. Mungu huyu vipi asie wapa Raha watu wake?:whoo:
 
Mawazo kama yako ndo yanaifanya nchi yetu(bongo) haindelei...inawezekana weye ni wale wale shule imewapitia mlango wa kushoto umesoma sana madrasa.Google country profile then linganisha Israel na Tanzania ndo utaona utofauti wa nchi hizo mbili.kalagabaho!!ur dreaming big time.
 
Mkuu!
Elewa msingi wa hoja hii "Why jews are so powerful?" ni kuonyesha Wayahudi wao wako juu na ndio "Best Characters" katika dunia yetu, kielimu, kimaendeleo na kijamii. Ndio msingi wangu na mie kuhoji....... Je ?ukiwalinganisha wao na Wajapani, ni jamii gani iliyo bora zaidi? halafu issue ya dini inaingizwa hapo hapo (ndio maana uislam unatajwa humo ndani) kuonyesha mafanikio yao yanatokana pia na imani yao (pengine sema taifa teule). Kukurudisha kwa QADHi ni kwa ajili ya ku refer zile aya mbili.....Quran; 2;11 na 2;12. Uislam haupingi Science na maendeleo, unapinga uharibifu na hakuna kizuri wanachofanya Wayahudi zaidi ya "UHARIBIFU" na wakiulizwa wanakataa! (Verily they are the one who make mischief, but they perceive. Quran 2:12)
kuna wakati Nuclear ilisafirishwa kutoka sehemu moja ya Marekani kwenda nyingine (MAKOMBORA yakiwa ndani ya ndege) yakikatiza katikati ya nchi. Bahati mbaya aliye fanya zoezi hilo hakutoa taarifa kamili (ilikua kizaazaa na iliundwa tume) hizo ndio "mischief" hakuna cha kujivunia hapo
1. Elimu na Maendeleo yoyote ya kuboresha maisha ya mwanadamu inakubalika katika uislam, ndio maana na sie tumo katika mtandao
2. Ni kwanini watu wa magharibi wamejazana na wamerundika majeshi yao, katika nchi za Kiarabu/kislaam? ina maana hujui kinachowapeleka?
3. Muislam hana anacho kosa kwa "life style" ya asie Muislam! hayo malalamiko ni kuhusu nini! Life Style ya Kislaam ni BEST CHARACTER katika dunia hii! (Unasemaje kuhusu ndoa za jinsia moja/ matumizi ya Kondom?)
4. Maendeleo yoyote ya uharibifu, hakuna cha kujivunia! kipi cha kuigwa kwa Wayahudi kilicho bora? zaidi ya MISCHIEF?
5. Umetaja vizuri ATOMIC BOMB (Hiroshima na Nagasaki) nani aliye fanya hiyo "Mischief" ? madhara yake ni kiasi gani? Wajapani wajifunza nini?(wameachana na shari wakaamua kufanya kazi na mambo yanayofaa au unaweza kusema wakafuata misingi ya uislam, shari wakamwachia Mmarekani). Nani anakumbukwa kwa kufanya uharibifu mkubwa Duniani? MAREKANI!( Do not make mischief, they say....we are only peacemakers, Quran 2:11)
 
Yaani hako kashamba kakugombea ndio unalinganisha na Tanzania?!
Hivi hujui madrasa maana yake ni Darasa na ndio inamanisha nimesoma?! au kujua Google ndio unaona ndio kusoma?! Indonesia ilwahi kuongozwana Msomi wa Dini, tena kipofu! (watu Milion 200)
Nilinganishe Nchi ya mjomba na Tanzania? we vp?(mpaka zichangwe kwa OBAMA ndio wapelekewe)
Maendeleo yao yalimsaidia nani? lete ushahidi hapa, mmekalia propaganda za bei rahisi tu!(Kenya wana ubalozi miaka na miaka)
Be great thinker.........kabla yakujibu kirahisi rahisi!:whoo:
 





ni kweli kabisa kwa uliyosema . inaelekea una posttraumatic stress .si bure unahitaji kuonana na psychiatrist . if feel sorry 4 u.




 
Huu ndo ukweli wenyewe kuhusu jews ,asiyetaka ajinyongeeeeeeeeeeeeee
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…