Hii sredi haina wachangiaji/haitakuwa na wachangiaji kwasababu facts zako hazimatch na dhana nzima ya udikteta. Tatizo umestate kisiasa sana mkuu, jaribu kufanya editing au uwezo wa kufikiri ndo umeishia hapo usaidiwe vinginevyo watakuja kuchangia kama wewe!