Asante mkuu, naomba msaadaHii sredi haina wachangiaji/haitakuwa na wachangiaji kwasababu facts zako hazimatch na dhana nzima ya udikteta. Tatizo umestate kisiasa sana mkuu, jaribu kufanya editing au uwezo wa kufikiri ndo umeishia hapo usaidiwe vinginevyo watakuja kuchangia kama wewe!
Heri yako wewe uliyeshiba "T2015CDM" changia mada, tunataka hoja hoja hoja pleaseUjinga tu umemjaa mleta mada. Njaa mbaya mno
Ufipa ni wapi tena ndugu yangu, changia hoja kwa mada murua, Nakupenda sanaVijana wa ufipa wakikosa bahnge ndio wanakuja na hivi vituko