Hii inatokea pale serikali inaposhindwa kutekeleza maslahi ya wanajeshi. Wanajeshi huwa hawapindui kwa maslahi ya watu bali maslahi yao.
Maslahi yao yakiingia shida au wakiona muelekeo hauridhishi, au mtu akiwahakikishia maslahi bora zaidi ndipo hupindua.