Why Are Countries which were colonised by British developed

COLLOH-MZII RELOADED

JF-Expert Member
Apr 6, 2017
7,549
2,000
In Africa Britain colonised the following countries;
1.Kenya
2.South Africa
3.Nigeria
4.Egypt
5.Uganda etc This are the leading countries economically in Africa except Ug

(ii) USA was colonised by the british and is the global super power
(iii) Canada
Iv.India
V.Australia
vi.ongezeni list
 
Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,608

Kwani wewe ni Muzungu?
 
Bishop Hiluka

Verified Member
Aug 12, 2011
6,486
2,000
In Africa Britain colonised the following countries;
1.Kenya
2.South Africa
3.Nigeria
4.Egypt
5.Uganda etc This are the leading countries economically in Africa except Ug

(ii) USA was colonised by the british and is the global super power
(iii) Canada
Iv.India
V.Australia
vi.ongezeni list
Hmm!...
 
Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
7,215
2,000
JIULIZE PIA KWA DUNIA YA SASA HIVI SERA NA MIPANGOO TOKA UINGEREZA INA KIPI CHA KUJIVUNIA???TUMERITHI UMWINYI NA UFAZA WA WAINGEREZA MANENO KIBAO VITENDO NA UHALISIA ZERO
 
Jay456watt

JF-Expert Member
Aug 23, 2016
10,363
2,000
well, in certain nations like Nigeria, oil has been the main source of economic growth and thus the country's 'development' has very little to do with British colonialism...for SA, I believe gold played a very critical role in its development plus alot of the investments that mostly white South africans made post-independence...unlike most african nations, SA embraced industrialization at a very early stage after gaining independence...they developed many cities and grabbed alot of markets in Africa...but most importantly, nations colonized by the British embraced a more capitalist approach...look at Kenya in EA....thats why they ended up developing more than other socialist nations like TZ..watanzania wanaeza pinga hili ila ujamaa umechangia kwa umaskini uliopo nchini mwenu vikubwa...sisemi kuwa kenya sio maskini...as a matter of fact it is very poor...but that ujamaa thing iliwa affect vibaya sana...Nyerere was kind of an idiot..the only good thing that came out of ujamaa is the unity that tz tribes have...hamna ukabila sana kama wakenya...lakini ukija kwa mambo ya uchumi, ujamaa ni upuuzi...
 
Daby

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
33,243
2,000
British alikuwa na makoloni mengi. Karibia nchi utakayo ifikiria ilikuwa chini ya muingereza. Jaribu kuweka Angola, Algeria Ethiopia conclusion yako inaweza kukosa stands

Indeed, may be their colonial system can be reasonably factor.
 
Paprika

JF-Expert Member
Feb 25, 2017
5,979
2,000
well, in certain nations like Nigeria, oil has been the main source of economic growth and has very little to do with British colonialism...for SA, I believe gold played a very critical role in its development plus alot of the investments that mostly white South africans made after independence...unlike most african nations, SA embraced industrialization at a very early stage post-independence...they developed many cities and grabbed alot of markets in Africa...also, nations colonized by the British embraced a more capitalist approach...look at Kenya in EA....thats why they ended up developing more than other socialist nations like TZ..watanzania wanaeza pinga hili ila ujamaa umechangia kwa umaskini uliopo nchini mwenu vikubwa...sisemi kuwa kenya sio maskini...as a matter of fact it is very poor...but that ujamaa thing iliwa affect...Nyerere was an idiot..
Ujamaa ulituunganisha watanzania na kubomoa uchumi!!!
 
Jay456watt

JF-Expert Member
Aug 23, 2016
10,363
2,000
Ujamaa ulituunganisha watanzania na kubomoa uchumi!!!
kweli kabisa...however, it still helped tanzanians be 'one people'...you guys I admire ur togetherness...you place ur national interests before ur tribal instincts and that is a product of the ujamaa system..you have a uniting language (Swahili) and you rarely fight against each other...but speaking from an economic point of view, ujamaa doesn't work that well...
 
Of course!
 
Tyrone mofekeng

JF-Expert Member
Mar 19, 2017
698
1,000
well, in certain nations like Nigeria, oil has been the main source of economic growth and thus the country's 'development' has very little to do with British colonialism...for SA, I believe gold played a very critical role in its development plus alot of the investments that mostly white South africans made post-independence...unlike most african nations, SA embraced industrialization at a very early stage after gaining independence...they developed many cities and grabbed alot of markets in Africa...but most importantly, nations colonized by the British embraced a more capitalist approach...look at Kenya in EA....thats why they ended up developing more than other socialist nations like TZ..watanzania wanaeza pinga hili ila ujamaa umechangia kwa umaskini uliopo nchini mwenu vikubwa...sisemi kuwa kenya sio maskini...as a matter of fact it is very poor...but that ujamaa thing iliwa affect vibaya sana...Nyerere was kind of an idiot..the only good thing that came out of ujamaa is the unity that tz tribes have...hamna ukabila sana kama wakenya...lakini ukija kwa mambo ya uchumi, ujamaa ni upuuzi...
Nyerere idiot?
 
kilam

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
2,028
2,000
kweli kabisa...however, it still helped tanzanians be 'one people'...you guys I admire ur togetherness...you place ur national interests before ur tribal instincts and that is a product of the ujamaa system..you have a uniting language (Swahili) and you rarely fight against each other...but speaking from an economic point of view, ujamaa doesn't work that well...

Hujui lolote kuhusu ujamaa, ukiulizwa ujamaa ulileta umasikini kivipi huwezi kujibu. Wewe lazima utakuwa kwenye lile kundi la mapunguani wanaosoma uchumi wa kimagharibi, wanafundishwa kuchukia ujamaa.

Msingi mkuu wa ujamaa ni kujitegemea, kuzalisha unachotumia. Pia, serikali kumiliki njia kuu za uchumi ili kuzuia matapeli kucheza na uchumi wa nchi. Wewe lazima utakuwa miongoni mwa mapunguani waliosoma uchumi wa kimagharibi.

They talk about the failure of socialism but where is the success of capitalism in Africa, Asia and Latin America? Fidel Castro
 
issa mweusi

JF-Expert Member
May 31, 2015
1,479
2,000
In Africa Britain colonised the following countries;
1.Kenya
2.South Africa
3.Nigeria
4.Egypt
5.Uganda etc This are the leading countries economically in Africa except Ug

(ii) USA was colonised by the british and is the global super power
(iii) Canada
Iv.India
V.Australia
vi.ongezeni list
we as Tanzanians also colonized by British after the end of ww1 in 1919.
 
Mgodo visa

JF-Expert Member
Nov 1, 2016
3,301
2,000
Ujamaa ulituunganisha watanzania na kubomoa uchumi!!!
Zipo nchi nyingi zilizo fuata hiyo Sera ya Ujamaa, leo hii ziko mbali..

Na mfano halisi ni huyo baba wa Ujamaa, nchi ya China..

Tatizo la TANZANIA, Mwalimu Julias, aliwekeza sana nguvu zake (kwa gharama ya nchi) kusaidia nchi jirani, na pale alipo jiingiza katika vita vya Uganda, kwa lengo la kumg'oa Iddi Amini Madarakani, ili amuweke Swahiba wake Obote..

Mikakati yote hii, iliingiza nchi katika MDORORO kiuchumi hadi leo hii..
 
Jay456watt

JF-Expert Member
Aug 23, 2016
10,363
2,000
Hujui lolote kuhusu ujamaa, ukiulizwa ujamaa ulileta umasikini kivipi huwezi kujibu. Wewe lazima utakuwa kwenye lile kundi la mapunguani wanaosoma uchumi wa kimagharibi, wanafundishwa kuchukia ujamaa.

Msingi mkuu wa ujamaa ni kujitegemea, kuzalisha unachotumia. Pia, serikali kumiliki njia kuu za uchumi ili kuzuia matapeli kucheza na uchumi wa nchi. Wewe lazima utakuwa miongoni mwa mapunguani waliosoma uchumi wa kimagharibi.

They talk about the failure of socialism but where is the success of capitalism in Africa, Asia and Latin America? Fidel Castro
kuna nchi nyingi za ujamaa zilizoendelea kiuchumi ila usijaribu kuweka tanzania kwa hio listi...bila shaka Nyerere aliwaambukiza ujinga inayodhihirika kwa povu uliomwaga hapa...kwani unafua bro? :D:D
 
kilam

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
2,028
2,000
kuna nchi nyingi za ujamaa zilizoendelea kiuchumi ila usijaribu kuweka tanzania kwa hio listi...bila shaka Nyerere aliwaambukiza ujinga inayodhihirika kwa povu uliomwaga hapa...kwani unafua bro? :D:D

kuna nchi nyingi za ubepari zilizoendelea kiuchumi ila usijaribu kuweka kenya kwa hio listi...bila shaka Jomo aliwaambukiza ujinga inayodhihirika kwa povu uliomwaga hapa...kwani unafua bro? :D:D
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom