Usije ukaifananisha Tanzania na hizo nchi zilizi 25 yaer behind, haipo, labda 50 year behind. Hata Somalia wametupita. Gadafi ametupita, Mugabe ametupita, Kagame ametupita, Museveni Ametupita, Hosni Mubaraka ametupita, Bingwa wa Mutarika ametupita, Zuma ndio kabisaa, Khama Jr kabisaa.
halafu ujue kuna Nchi Africa ziko karibu na 21 century, labda uchambue zaiadi.
Tanzania Choka mbaya sanaaa.