Wakuu nikifikilia kazi hii nayofanya ya kurusha nyimbo mia mia...
Mtu anakuja anataka nyimbo mbili anatoa 200 alafu badae anasema nyimbo haisomi naaanza tena kusumbuka.
Kumbe flash yake mbovu.
Kidogo anasema nimeharibu flash yake . Wakuu nafika hom nimechoka.