WHO yaitaka Tanzania kuzingatia kanuni za kisayansi kupambana na COVID 19

Mbona unaARGUE km kichwani hazijatimia??

Sasa kwann nchi yako ilisaini maridhiano na WHO kwa niaba ya wananchi??
KWANI LAZIMA...? CORONA TUKIPATA NI SISI...WACHA TUFE TU KWA KUKOSA CHANJO ZAO...KWANI WATAPATA HASARA GANI? TUKIFA WOTE KWA CORONA TUKIKOSA CHANJO ZAO WAJE WAJIBEBEE TU HII NCHI WATAJIRIKE...

KWANINI TUNALAZIMSHANA...?
 
Kwa ufupi ni kwamba WHO inaitaka Tanzania kushirikiana na mataifa mengine kupambana na Covid 19 kwa kutumia kanuni za Kisayansi.

Wanaeleza mchango wa Tanzania katika kupigania umoja siku za huko nyuma, vivyo hivyo wanaitaka Tanzania kuonesha umoja huo sasa kwa kushirikiana na mataifa mengine katika vita dhidi ya Corona.

Msingi wa kauli hii ya WHO ni kutokana na kauli tata aliyoitoa Rais Magufuli kuhusiana na chanjo. Wameeleza jinsi Rais Magufuli aliyerudi madarakani kupitia uchaguzi uliochafuliwa, namna ambavyo amekuwa kikwazo katika juhudi za Dunia katika kupambana na ugonjwa wa Covid 19. Mengine, soma mwenyewe.

(CNN)The World Health Organization (WHO) is urging officials in Tanzania to follow science in the fight against the coronavirus, after the country's president said the approved vaccines are "dangerous" and that "not all vaccines are of good intentions to our nation."

"Urging #Tanzania to ramp up public health measures such as wearing masks to fight #COVID19. Science shows that #VaccinesWork and I encourage the government to prepare for a COVID vaccination campaign," WHO's Regional Africa Director Dr. Matshidiso Moeti said on January 28, following President John Magufuli's comments from the previous day. "WHO is here to support the government and people of Tanzania," Moeti added.

WHO Director General Tedros Adhanom Ghebreyesus echoed Moeti's comments, saying "I join @MoetiTshidi's call for strong health measures and #COVID19 vaccine preparedness. Data-sharing by #Tanzania is also key, with cases surfacing among travelers and visitors over the months."

President Magufuli, who was reelected in a disputed October 2020 election, has been downplaying the virus and has told the health ministry not to rush to purchase vaccines.

"There are some of our fellow Tanzanians who recently did travel abroad in search of corona vaccines, they are the ones who brought back corona in our country after returning," Magufuli said at an event on January 27. "My fellow Tanzanians, let us stand firm, some of these vaccines are not good for us."

"I really urged the ministry of health to be very, very careful with all the vaccines which are imported into our country, not all vaccines are of good intentions to our nation, it is important that we Tanzanians be very careful with some of these vaccines imported to our country," he said.

"We need to put our God first but at the same time we take all the necessary measures, health precaution measures to protect ourselves against this disease, as advised by our country's health experts," Magufuli said. "We (Tanzanians) have lived for almost one year without the virus, and a good evidence is, most of us here we don't mask," he added.

During a news conference on Monday (February 1), Tanzania's Health Minister Dorothy Gwajima didn't say when the country will start receiving vaccines but instead reiterated the government's suggested hygiene practices, which include drinking plenty of water and taking local herbs, which the government claims, without evidence, can combat the virus.

Tanzania has not updated its Covid-19 data since late April, leaving the last number of reported confirmed cases at 509 and the death toll at 21. Those are also the latest numbers that Johns Hopkins University has published on its website.

Responding to a question about Tanzania's approach to handling the pandemic, Dr. John Nkengasong, Director of the Africa Centres for Disease Control and Prevention, said the continent must be united in its response to the virus in order to succeed.

"Africa operates with a strong coordination of the African Union (AU). Our position is clear, that we have to express unity of purpose to succeed as a continent," Nkengasong said.

"Tanzania is a great country, has been a great country in Africa preaching and promoting the values of unity on the continent," he said. "So great cooperation and great solidarity and great sense of unity of purpose from Tanzania is highly valued in this critical moment in our history."

Sent using Jamii Forums mobile app
WHO lazima ijue kuwa watanzania tunakipaji cha utengenezaji dawa, huku kwetu kila nyumba ni kiwanda cha dawa tofauti na huko uzunguni.
 
Tanzania tugomee na chanjo zingine zote si hii ya COVID-19 tu....hawa mabeberu wana nia ya kutumaliza ili wachukue madini yetu...sisi ni matajiri!!
 
KWANI LAZIMA...? CORONA TUKIPATA NI SISI...WACHA TUFE TU KWA KUKOSA CHANJO ZAO...KWANI WATAPAbTA HASARA GANI? TUKIFA WOTE KWA CORONA TUKIKOSA CHANJO ZAO WAJE WAJIBEBEE TU HII NCHI WATAJIRIbaKE...

KWANINI TUNALAZIMSHANA...?
Kweli kbsa watuache na tiba Vasili zetu
 
Ila hili la corona, selikari acheni kuziba masikio, ukifika mda iweza kuwaletea matatizo,haiwezekani dunia inaangaika na vita hivi sie tujitenge japo hata serikali kuchukua hatua Kama za mwanzo,
Inaweza tokea dunia ikatoa tamko la kuwakamata na kuwasweka ndani viongozi Kama chanzo Cha kuhatarisha amani ya corona kwenye mataifa mengine, ebu acheni hii sioni mwisho mzuri katika hili,hii ni vita Kama ilivyo vita nyingine
Kwa ufupi ni kwamba WHO inaitaka Tanzania kushirikiana na mataifa mengine kupambana na Covid 19 kwa kutumia kanuni za Kisayansi.

Wanaeleza mchango wa Tanzania katika kupigania umoja siku za huko nyuma, vivyo hivyo wanaitaka Tanzania kuonesha umoja huo sasa kwa kushirikiana na mataifa mengine katika vita dhidi ya Corona.

Msingi wa kauli hii ya WHO ni kutokana na kauli tata aliyoitoa Rais Magufuli kuhusiana na chanjo. Wameeleza jinsi Rais Magufuli aliyerudi madarakani kupitia uchaguzi uliochafuliwa, namna ambavyo amekuwa kikwazo katika juhudi za Dunia katika kupambana na ugonjwa wa Covid 19. Mengine, soma mwenyewe.

(CNN)The World Health Organization (WHO) is urging officials in Tanzania to follow science in the fight against the coronavirus, after the country's president said the approved vaccines are "dangerous" and that "not all vaccines are of good intentions to our nation."

"Urging #Tanzania to ramp up public health measures such as wearing masks to fight #COVID19. Science shows that #VaccinesWork and I encourage the government to prepare for a COVID vaccination campaign," WHO's Regional Africa Director Dr. Matshidiso Moeti said on January 28, following President John Magufuli's comments from the previous day. "WHO is here to support the government and people of Tanzania," Moeti added.

WHO Director General Tedros Adhanom Ghebreyesus echoed Moeti's comments, saying "I join @MoetiTshidi's call for strong health measures and #COVID19 vaccine preparedness. Data-sharing by #Tanzania is also key, with cases surfacing among travelers and visitors over the months."

President Magufuli, who was reelected in a disputed October 2020 election, has been downplaying the virus and has told the health ministry not to rush to purchase vaccines.

"There are some of our fellow Tanzanians who recently did travel abroad in search of corona vaccines, they are the ones who brought back corona in our country after returning," Magufuli said at an event on January 27. "My fellow Tanzanians, let us stand firm, some of these vaccines are not good for us."

"I really urged the ministry of health to be very, very careful with all the vaccines which are imported into our country, not all vaccines are of good intentions to our nation, it is important that we Tanzanians be very careful with some of these vaccines imported to our country," he said.

"We need to put our God first but at the same time we take all the necessary measures, health precaution measures to protect ourselves against this disease, as advised by our country's health experts," Magufuli said. "We (Tanzanians) have lived for almost one year without the virus, and a good evidence is, most of us here we don't mask," he added.

During a news conference on Monday (February 1), Tanzania's Health Minister Dorothy Gwajima didn't say when the country will start receiving vaccines but instead reiterated the government's suggested hygiene practices, which include drinking plenty of water and taking local herbs, which the government claims, without evidence, can combat the virus.

Tanzania has not updated its Covid-19 data since late April, leaving the last number of reported confirmed cases at 509 and the death toll at 21. Those are also the latest numbers that Johns Hopkins University has published on its website.

Responding to a question about Tanzania's approach to handling the pandemic, Dr. John Nkengasong, Director of the Africa Centres for Disease Control and Prevention, said the continent must be united in its response to the virus in order to succeed.

"Africa operates with a strong coordination of the African Union (AU). Our position is clear, that we have to express unity of purpose to succeed as a continent," Nkengasong said.

"Tanzania is a great country, has been a great country in Africa preaching and promoting the values of unity on the continent," he said. "So great cooperation and great solidarity and great sense of unity of purpose from Tanzania is highly valued in this critical moment in our history."
 
Kwani lazima? Corona tukipata ni sisi. Wacha tufe tu kwa kukosa chanjo zao. Kwani watapata hasara gani? Tukifa wote kwa corona tukikosa chanjo zao waje wajibebee tu hii nchi watajirike.

Kwanini tunalazimshana?
Kila mtu aongelee nafsi yake na ya familia yake. Naona umeenda mbali sana hadi kuwapokelea watu vifo kisa wewe umekubali
 
Kwani lazima? Corona tukipata ni sisi. Wacha tufe tu kwa kukosa chanjo zao. Kwani watapata hasara gani? Tukifa wote kwa corona tukikosa chanjo zao waje wajibebee tu hii nchi watajirike.

Kwanini tunalazimshana?
Umaskini na ujinga wa African unawasumbua nchi matajiri wanashindwa kufanya mambo ya maendeleo kwa wananchi wao kwa maneno kama yako.

Ivi mpaka sasa ivi unaenda hospitali za wazungu au bado unajitibu na mitishamba yako
 
Back
Top Bottom