Siasa mbovu na dhaifu kamwe haziwezi kukuza uchumi.Kama Kagame angekuwa na siasa mbovu kama baadhi ya watu wanavyodai basi uchumi wa Rwanda ungezorota.Tukumbuke serikali nyingi za Afrika ziliambiwa na IMF na World Bank kuwa kudorora kwa uchumi wao kunatokana na siasa duni,ironically the same people are accussing Kagame of bad politics while acknowledging the gains made by the same government employing the so called bad politics!