englibertm JF-Expert Member Joined May 1, 2009 Posts 9,252 Reaction score 6,211 Aug 25, 2014 #1 <button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,255 Aug 25, 2014 #2 Nilishawahi ona documentary ya hii kitu kwa TV, nikawa tu nawaza kwenye eneo hilo kwenye river bed kutakuwa kumefunikwa na funguo!
Nilishawahi ona documentary ya hii kitu kwa TV, nikawa tu nawaza kwenye eneo hilo kwenye river bed kutakuwa kumefunikwa na funguo!
SHIEKA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 8,240 Reaction score 4,280 Aug 25, 2014 #3 englibertm said: <button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button> Click to expand... Hilo daraja lapaswa kuitwa 'Daraja la Upendo aka 'la pont d'amour' (waliohudhuria evening classes alliance francais wachukue kalamu nyekundu!)
englibertm said: <button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button> Click to expand... Hilo daraja lapaswa kuitwa 'Daraja la Upendo aka 'la pont d'amour' (waliohudhuria evening classes alliance francais wachukue kalamu nyekundu!)
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Aug 25, 2014 #4 Aisee....!
Fasouls JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 937 Reaction score 321 Aug 25, 2014 #5 itabidi na mimi nikafunge langu hapo,ila funguo sitatupa
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 Aug 25, 2014 #6 Huu ni utamaduni walioamua kuufuata. Sio lazima na sisi waafrica tuufuate. Tunaweza tukaja na wazo letu.
Huu ni utamaduni walioamua kuufuata. Sio lazima na sisi waafrica tuufuate. Tunaweza tukaja na wazo letu.
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 Aug 25, 2014 #7 Red Scorpion said: Nilishawahi ona documentary ya hii kitu kwa TV, nikawa tu nawaza kwenye eneo hilo kwenye river bed kutakuwa kumefunikwa na funguo! Click to expand... Miaka 1000 ijayo wataanza kuchimba chuma
Red Scorpion said: Nilishawahi ona documentary ya hii kitu kwa TV, nikawa tu nawaza kwenye eneo hilo kwenye river bed kutakuwa kumefunikwa na funguo! Click to expand... Miaka 1000 ijayo wataanza kuchimba chuma
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,255 Aug 25, 2014 #8 Bulldog said: Miaka 1000 ijayo wataanza kuchimba chuma Click to expand... Hahahahahahah.........
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,255 Aug 25, 2014 #9 Fasouls said: itabidi na mimi nikafunge langu hapo,ila funguo sitatupa Click to expand... Utupe funguo tena na huo usingizi wako wa pono si utasahau hata ulipotupia!
Fasouls said: itabidi na mimi nikafunge langu hapo,ila funguo sitatupa Click to expand... Utupe funguo tena na huo usingizi wako wa pono si utasahau hata ulipotupia!