Who stands with Job Ndugai?

wewe ni foolish, na hiki kipaji ni cha ukoo nadhani hivyo maana kama sio basi baba ako angekuambia ukiiache zamani tu

 
Mbona binafsi naona cag hajadhau mtu,hajavunja sheria hajatumia uprofesa wake kujikweza jaman alichosema ni haki yake kwamba yeye kama cag ni kukagua na kutoa mapendekezo na kumkabidhi rais ripoti sasa wajibu wa bunge ni kuitaka serikali ieleze kuhusu mapungufu yaliyojitokeza sasa kama bunge halifanyi hivyo hilo sio tatizo lake ni la bunge
 
Si bora uunde kura ya wazi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali inayopigana na ufisadi kugeuza vita dhidi ya mkaguzi! hii vita itafanikiwa kweli.?

Mkumbuke wengine tuliwapa kura kwa ahadi yenu ya kupiga vita rushwa.

Kushindwa kuchukua hatua ya wizi wa fedha zetu ni udhaifu utakaofanya tuwachukulie hatua wote tuliowachagua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mazezeta na "kipaza ",wa akili na Assad!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda jiwe ambaye anamtumia kumsulubu CAG kwa maneno ya dharau kinyume chake angeshachukuliwa hatua mana nasikia hata waccm wenzie hawapendi anavyohandle hii issue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…