Who stands with Job Ndugai?

CAG wetu ana matatizo. Haya mambo anayofanya kujiona hakuna wa kumgusa sio sawa. Ndo Haya haya watu wanayakataa kwa jiwe.

Huwezi kuwatukana wenzako kisa et katiba inakulinda. Na Rais atafanyaje sasa.

Haijawahi kutokea kwa mfanyakazi yeyote wa nchi hii au nchi nyingine yoyote Dunian kuanza kuwakosoa wenzake akiwa nje ya nchi. Hasahasa wenzake ambao hana mamlaka ya kuwakosoa au kuwarekebisha. Hii ndo inaitwa tabia mbaya na chafu.

Pamoja na kuwa ni CAG bora na mzuri katika kazi lakin tabia yake ni chafu na mbovu. Kuingilia mihimili mingine ya nchi kwa kuonyesha kuwa haifanyi kazi sawa sawa sio jukumu lake na tafsiri yake ni tabia chafu ya kujiona yeye yuko juu ya sheria .

Tunampenda sana lakin abadilike. Haina maana kuwa baada ya yeye nchi haiwezi kupata CAG bora kabisa.

Zaid ya apo ajue cheo ni dhaman, kuna mwanzo wa kukipata na mwisho wa kukitumia kwa context zote.

Aelewe pia kuwa kila business apa dunian huwa na maana kwa kuwastahi na kuwaheshim wateja wake au wadau wake. Sina uhakika kama yeye anawajua wateja wake au wadau wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo spika nae anataka aogopwe kama mkuu wake hivyo hata kile ambacho anajua hakiwezi hata kisheria anaforce
 
Ametukanwa nan, mbona tz inatukanwa kila uchao lkn hatujaona povu kama hili, unataka kusema anayeongoza tz haipendi au haoendi wananchi wake, ugonvi wa taasis usiwe wa mtu binafsi
 
Sasa kama inajulikana kabisa Ndugai amesimama upande wake na wananchi wote wapo upande wa Assad unafikiri Ndugai anaaminika tena kwenye jamii? Na kama jamii haimuamini anawezaje kuitumikia jamii kwenye cheo kikubwa kabisa kinachoweza kumfanya hata awe Rais mihimili mingine ikiwa haipo.. CCM mtuonyeshe sasa kama mnawajali wananchi kwa kutoa kauli moja inayompinga spika na kumtaka ajiuzuru kwa manufaa ya umma ambao umepoteza imani naye..
 
Dah mkuu ni hatari aisee anakotupeleka huyu atasababisha wagogo wawe wanajificha na hata wakiwa wanaulizwa kabila lao waishie kujitaja kuwa wao ni Wasukuma.

"Proudly, brought to u by Bachelor Sugu"
Akili ya ndungai ni ndogo kama Akili ya panya
 

Mkuu nani katukanwa kwani na CAG, ninachojua CAG alizungumzia utendaji wa Bunge kwenye majukumu yake kwa maana kama chombo kinachoisimamia Serikali..
 
Prof Assad, alipaswa aachie ngazi kitambo baada ya kubaini kwamba bunge ni dhaifu. Au la, raisi alipaswa kufuta bunge kama kweli ni dhaifu! Kwa hakika sioni ni vipi Prof afanye kazi na bunge dhaifu ambalo haliwezi kufanyia kazi taarifa zake kwa tija na makusudio lengwa na kwa hali hiyo taarifa zake zikiwa hazina maana na hivyo kuwa zimepoteza muda na rasilimali fedha katika kuiandaa!
 

Ni wewe au umekopi na kupesti?
 
CAG na spka nani anahisi hakuna wa kumgusa?

MiM
 
Doh ni shida kweli walahi, hiyo tabia chafu ni ipi tena? Hivi kujibu maswali ulioulizwa ni tabia chafu?
Kweli ukimchukia mtu utamuiga hadi mwendo na ukipenda sana chongo utaita kurembua au macho ya kizungu
Hivi sijui Inakuaje mpaka uongee usichokiamini
 
Nani kakwambia kwamba alienda kutangaza matokeo Marekani? Nafikiri uelewa wako wa mambo ni mdogo sana. Sikiliza yale mahojiano kwanza utajua kama kweli alisema bunge ni dhaifu. Unachukua maneno ya Ndugai ndio unaleta hapa jukwaani. Watu kama wewe ni mzigo kwa taifa.
 
Mtu yeyote! si nani wala nani! Wananchi tumemuajieri atuangalizie mahesabu yetu. Na hiyo kazi anaifanya vizuri sana. Mengine anayoyafanya yasiyostahili kama kwenda kuloloma huko nje ya nchi ayaache!
Mwana ija huko nje mnanani yenu? mbona mnalalamika sana na hukonje?mnakuwa kama mazuzu bana nje nje!!
 
Bila shaka ww utakua job

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…