WHO slams scientists for Africa vaccine testing notion

Wakuomba suluhu tutakua sisi

Wanaweza kutuwekea vikwazo kua misaada tuliyopewa tuirudishe na yale madeni ambayo inasemekana kila mtanzania anadaiwa milion moja yalipwe ndani ya mwezi mmoja

Umeona itavyokua hatari kuliko korona yenyewe?
Wacha tu iwehatari kwa namna yoyote tumechoka kuishi kwa mashaka.

Bora kitokeechochote maisha ya muafrika yaanze moja, dharau zimezidi.
Labda kupitia shida ngumu tutajifunzakitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha ya muafrika ili kuanza na moja itahitajika nyani kuanza process ya evolution tena

Round hii wasikosee wakafanya ujinga ambao homosapiens na wenzake waliufanya pengine huenda wakatusua.
 
Hahahaa, tukiwawekea ngumu tukaamua kula majani miaka mitano tu, watatupigia magoti maana kuna resources nyingi wana tegemea kupata huku kwaajili ya maendeleo yao.

Labda watumie nguvu cause we can't fight them.

Ni muda sasa watuache tufeee ili akili itukae tutafute njiazetu wenyewe zakujiikoa no matter ni muarobaini ama ndulele.

Then from there tuanze kujihudumia wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Afrika ina resources za kutosha kujitegemea! Hakuna sichopatikani Afrika kiwe chakula, madini, mafuta, maji safi yasiyohitaji hata kuwekewa dawa yoyote! Mazingira ya Afrika hayajaharibiwa kama ya wazungu. Unajua kuwa madini ya kutengeneza injini za gani na ndege yanapatikana Afrika tu? Unajua kuwa chakula bora cha binadamu kinapatikana Afrika tu? Unajua kuwa maji safi ya kutoka kwa Mwenyezi Mungu yanapatikana Afrika tu? Kaa chini fikiria zaidi!
 
Rekebisha heading. Isomeke Hakuna majaribio ya chanjo yatakayofanyika Afrika.

Au isomeke

WHO: Afrika haitakuwa uwanja wa majaribio wa chanjo ya COVID-19
 
Bila link uliyonukuu ya -chanzo kiso' mashaka, Hii nayo inakuwa Habari ya Kijiwe cha Kahawa chafu ilhali waungwana sikuhizi tunapiga 'Al-kasusu' Kitu Safi kwenye 'dispozabo'.
Screenshot_2020-04-07-11-52-02-1.png
 
Mkuu nadhani hukunisoma vizuri, mana nikama unanishambulia.

Anyway, nikweli tuko vizuri sana.
Siku viongozi wetu wakiacha tamaa za kijinga tutapiga hatua sana.

Tukiamua kutumia kidogo tunachopata kujiendeleza kwenye utafiti za kisayansi na mambo mengine tutatafanikiwa sana.

Tatizo ni pale tunapo toapesazetu mfano bil 3 kunua magariya kifahari kwa viongozi alafu tunapeleka bakuli kuomba mkopo kwaajili ya kujenga hospital na shule.

Sisi ni masikini kichwani na sijui tumerogwa na nanai, tuna kilakitu mbaka afyazetu ni imara.

Ndio mana sazingine nawaza tufekwa wingi ilitujifunze kutumia kipatochetu kidogo kwenye mambo ya msingi.

Bajeti ya maendeleo asilimia 40 mambo mengine asilimia 60, alafu mwisho wa mwaka bajeti ya maendeleo unaskia imetoka % 30 ama 25.

WE NEED TO CHANGE.
Afrika ina resources za kutosha kujitegemea! Hakuna sichopatikani Afrika kiwe chakula, madini, mafuta, maji safi yasiyohitaji hata kuwekewa dawa yoyote! Mazingira ya Afrika hayajaharibiwa kama ya wazungu. Unajua kuwa madini ya kutengeneza injini za gani na ndege yanapatikana Afrika tu? Unajua kuwa chakula bora cha binadamu kinapatikana Afrika tu? Unajua kuwa maji safi ya kutoka kwa Mwenyezi Mungu yanapatikana Afrika tu? Kaa chini fikiria zaidi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nadhani hukunisoma vizuri, mana nikama unanishambulia.

Anyway, nikweli tuko vizuri sana.
Siku viongozi wetu wakiacha tamaa za kijinga tutapiga hatua sana.

Tukiamua kutumia kidogo tunachopata kujiendeleza kwenye utafiti za kisayansi na mambo mengine tutatafanikiwa sana.

Tatizo ni pale tunapo toapesazetu mfano bil 3 kunua magariya kifahari kwa viongozi alafu tunapeleka bakuli kuomba mkopo kwaajili ya kujenga hospital na shule.

Sisi ni masikini kichwani na sijui tumerogwa na nanai, tuna kilakitu mbaka afyazetu ni imara.

Ndio mana sazingine nawaza tufekwa wingi ilitujifunze kutumia kipatochetu kidogo kwenye mambo ya msingi.

Bajeti ya maendeleo asilimia 40 mambo mengine asilimia 60, alafu mwisho wa mwaka bajeti ya maendeleo unaskia imetoka % 30 ama 25.

WE NEED TO CHANGE.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wakati sasa Africa ijitengenezee chanjo zake na dawa zake .Isitumie tena chanjo za wazungu kama chanjo za polio,Hepatisis A,B na nyinginezo,nadhani kelele zitakwisha.Wanasayansi wa africa sijui wanafanya nini hasa
 
Naunga mkono point yako...na chanjo za zamani zilizotengenezwa na wazungu zifanyiwe uchunguzi kama zinafaa kwa matumizi ya binadamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afrika ina resources za kutosha kujitegemea! Hakuna sichopatikani Afrika kiwe chakula, madini, mafuta, maji safi yasiyohitaji hata kuwekewa dawa yoyote! Mazingira ya Afrika hayajaharibiwa kama ya wazungu. Unajua kuwa madini ya kutengeneza injini za gani na ndege yanapatikana Afrika tu? Unajua kuwa chakula bora cha binadamu kinapatikana Afrika tu? Unajua kuwa maji safi ya kutoka kwa Mwenyezi Mungu yanapatikana Afrika tu? Kaa chini fikiria zaidi!
Isipokuwa Akili zetu huwa tunazijua wenyewe. Huwezi kuwa na vyite kisha unakuwa ombaomba .
 
Back
Top Bottom