Wadau mimi uwa nasafiri sana kwenda South Sudan na uwa shughuli zangu zinafanya ni interact sana na Government officials, kwa kweli attitude ambayo serikali yao imeanza nayo ni yakusikitisha. Ni wajeuri, hawaheshimu mikataba na makubaliano yeyote, hali hii inatisha na watu wengi wanahofu na mstakabali wa nchi hii. juzi nimeona kwenye aljazira raisi wao akimwambia UN secretary general kwamba yeye hajamuajiri kwa hiyo asimuamurishe kutoka Heglig, hawa jamaa wamesahau kwamba uhuru waliupata kutokana na msaada ya international community, wameshindwa kusoma upepo unavyoenda