Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,251
- 2,131
GODHabari wana jf natumai ni wazima.Sijawahi kuanzisha katika jukwaa hili(home of great thinker) Leo ndo my first time.Hili huwa najiuliza lakini nakosa majibu.Soma kisa hiki hapa chini
Mwanasayansi wa elimu ya viumbe Athanasius Kircher(1601-1680)alikuwa na tufe leñye sura ya dunia lililofanywa kwa ustadi sana.Siku moja rafiki yake aliyekuwa haamini kuwa kuna Mungu,alipoona tufe hilo na kuvutiwa na uzuri wake,aliuliza Nani aliyeufanya mfano huu wa dunia hivi?Kircher akajibu"Hakuna mtu,umejifanya wenyewe".Rafiki yake akasema"Unanichekesha aliyeufanya mfano huu lazima awe mstadi mkubwa,Jinsi gani Kircher akahoji.Hautaki kukubali ya kuwa mfano huu dhaifu wa tufe la dunia la dunia umejifanya wenyewe,lakini unakaza mafundisho yako ya kuwa dunia kubwa jinsi hii imejifanya yenyewe.
Swali linebaki pale pale.Who made space,unirves and the world?
Naona umepata nafasi ya kutoa kilichomo moyoni mwako. Ujahilia at its best.Nasubiri kuona wazee wa dini ambao wanaamini dini yao for some reason ni special kati ya dini zaidi ya 4000. Na hakuna hata moja inayokuja na proof ya kitu chochote kile wanachokisema. Science pekee ndiyo imekuja na proof toka enzi hizo hadi leo, na ndo kitu pekee kilichotuletea maendeleo leo hii tupo JF tunawasiliana. Maduduwasha mengine mlijazwa tu utotoni mmeshindwa kujitoa kwenye hicho kifungo kwa sababu mlitishwa kuna moto. Hahaha moto my ass.
dini haipo kwa ajili ya uvumbuzi..dini IPO kwa ajili ya kutoa muongozo wa namna ya kuishi kama watu na mazingira yanayotuzungukaNasubiri kuona wazee wa dini ambao wanaamini dini yao for some reason ni special kati ya dini zaidi ya 4000. Na hakuna hata moja inayokuja na proof ya kitu chochote kile wanachokisema. Science pekee ndiyo imekuja na proof toka enzi hizo hadi leo, na ndo kitu pekee kilichotuletea maendeleo leo hii tupo JF tunawasiliana. Maduduwasha mengine mlijazwa tu utotoni mmeshindwa kujitoa kwenye hicho kifungo kwa sababu mlitishwa kuna moto. Hahaha moto my ass.
Kama ipo kutoa muongozo wa namna ya kuishi basi imefeli vibaya mno maana inapotosha.dini haipo kwa ajili ya uvumbuzi..dini IPO kwa ajili ya kutoa muongozo wa namna ya kuishi kama watu na mazingira yanayotuzunguka
bila kueleza imepotoshaje/inapotoshaje utakua sawa na kasuku tu anaeigiza maneno asojua maana yakeKama ipo kutoa muongozo wa namna ya kuishi basi imefeli vibaya mno maana inapotosha.
What is Science Mkuu?Science pekee ndiyo imekuja na proof toka enzi hizo hadi leo, na ndo kitu pekee kilichotuletea maendeleo leo hii tupo JF tunawasiliana.
Science inachojaribu kufanya ni kusafiri kwenye bahari (Dunia iliyoumbwa na Mungu) na kujaribu kutafuta maana ya vitu inavyoviona (Uumbaji wa Mungu) huku ikiwa haina compass wala ramani (Neno la Mungu). Tuhuma za sayansi kuukataa uwepo wa Mungu unaupa wakati mgumu sana pale maswali yanapozuka na ndio maana kila mwanasayansi ana jibu lake na mtazamo wake kuhusu ayaonayo.Nasubiri kuona wazee wa dini ambao wanaamini dini yao for some reason ni special kati ya dini zaidi ya 4000. Na hakuna hata moja inayokuja na proof ya kitu chochote kile wanachokisema. Science pekee ndiyo imekuja na proof toka enzi hizo hadi leo, na ndo kitu pekee kilichotuletea maendeleo leo hii tupo JF tunawasiliana. Maduduwasha mengine mlijazwa tu utotoni mmeshindwa kujitoa kwenye hicho kifungo kwa sababu mlitishwa kuna moto. Hahaha moto my ass.