Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
We mzee si nimekwambia sitaki uniulize ninachochekeaHalafu we mtoto, basi niambie tucheke wote mama!

We mzee si nimekwambia sitaki uniulize ninachochekeaHalafu we mtoto, basi niambie tucheke wote mama!

Shunie nitakupa dhawadi..haha niambie basi!!We mzee si nimekwambia sitaki uniulize ninachochekea![]()
Niambie basi we mzee dhawadi gani kwanza utanipaShunie nitakupa dhawadi..haha niambie basi!!

Nimeacha haka katabia, kanaweza kukufanya ujenge taswira tu halafu...🤣🤣
...japo nna crush wangu...!
Hahaha, furahia mkuu. Uzee nao haujatuacha salama.🤣🤣Hahahah...
Nimecheka sana...JF hatari sana
Namfaham sana...😂😂Daah!! Hadi nimemkumbuka crush wangu, siku hizi sijui kapotelea wapi!!
Popote ulipo Mungu azidi kukutunza genius.
We sema nini unanicheka we mtoto!Niambie basi we mzee dhawadi gani kwanza utanipa![]()
Mambo yako? Hatimae nimekutaja crush wa mimi
Eeeh!?Mambo yako? Hatimae nimekutaja crush wa mimi
NdiwooooEeeh!?
Kweli kuwa mimi ndio krash wa mtoto mzuri.?![]()

Hatimae crush wangu umejitokeza🤣🤣🤣Namfaham sana...😂😂
Juzi juzi tu hapa niliona comment yake sehem!!
mdogo wangu ushaanza mambo yako...!Abeee
Nimuite?😂Hatimae crush wangu umejitokeza🤣🤣🤣
Hujambo?🙈🙈
yo missed couzin..!!Naomba nisiseme chochote kwa maslahi mapana ya taifa!